Ushauri: Waigizaji wa kiume wanaoigiza kama wanawake wapigwe marufuku

Ushauri: Waigizaji wa kiume wanaoigiza kama wanawake wapigwe marufuku

Tukianza na Joti, na yale majamaa ya kwenye zekomed za Masanja, aje yule dogo anafaa dera anaigiza Juakali/not so sure ila tamthilia kule DSTV, wanaume wanavaa manguo ya kike na kuigiza kama wanawake, wapigwe marufuku kwasababu kidogo kidogo wanafanya jamii ione muonekano wa aina hiyo kwa mwanaume ni kitu cha kawaida.

Kiufupi, hawa ndio wanaoeneza ushoga bila wao kujijua na kufanya jamii izoee taswira za kishogashoga. Pumbafu kabisa.
kabisa, yule dstv-kitimtim. Ninaamini wote wanaovaa miguo ya kike ni mashoga. Tuna wadada na wamama wengi wa kuigiza hizo scens za kike, kuna haja gani mwanaume aigize mwanamke na avae kike na ajipodoe kama mwanamke ikiwa si shoga?
 
Nakumbuka enzi nasoma niligoma kuigiza kama msichana kwenye mchezo. Kikundi chetu cha kuigiza hatukua na mwanamke.
 
Nenda straight kwamba baadhi ya waigizaji waache kuwa mapapai ,joti anaigiza kikike lakini nje ya sanaa ni shababi ila kina dullvan ni mapapai nje ya sanaa.
 
Nenda straight kwamba baadhi ya waigizaji waache kuwa mapapai ,joti anaigiza kikike lakini nje ya sanaa ni shababi ila kina dullvan ni mapapai nje ya sanaa.
Alafu joti ni mjanja akivaa bado Kuna vitu hufanya unajua kabisa uyu anaigiza tu na mwenyewe uwanaume wake anataka pia uonekane, kama vile kuacha mipengo yake,kushindilia nguo zinakua upande upande, kuweka make kihasara hasara Yani unajua kabisa uyu mwanaume,ila dulvani dah ,hasara tupu, katoto kanajilainisha,na muonekano wa kike mazima
 
kabisa, yule dstv-kitimtim. Ninaamini wote wanaovaa miguo ya kike ni mashoga. Tuna wadada na wamama wengi wa kuigiza hizo scens za kike, kuna haja gani mwanaume aigize mwanamke na avae kike na ajipodoe kama mwanamke ikiwa si shoga?
Kwani we unaumia nini??
 
Kiukweli mwanaume kujifanya mwanamke inakera Sana , hata kama ni kuigiza sjui kujipatia riziki huo ni upumbavu wa Hali ya juu yaan watu wa namna hyo wauawe tuu....
 
Tuanze na IDs za wanaume wanaotumia nickname za kike...humu JF
 
Mambo kama haya hapa si ni kampeni tosha ya kupigia chapuo ushoga!!
Kijana wa Kiume Dulla a.k.a Dada Zuu anavaa madera, anavaa mawigi, anajipodoa, anapoz kama mwanamke na anataja mwanaume mwenzie kuwa mume wake!!!
DSTV wametoa wapi kibali cha kurusha huu ufirauni kama siyo kwa hao BASATA?!!

Huu ujumbe uwafikie BASATA....BASATAA..
Kama Rais anapita humu nyie ni kina nani msipite humu..tuondoleeni huo upuuzi
 
Nashukuru Sasa angalau watanzania tunaanza kuelewa thamani ya utu na ujinsia. Kuna kundi la Wana Uhai(Pro-Life) wanakemea Sana uovu wa namna hii.... Wanaendesha vipindi vyao kupitia redio Tumaini Kila jumapili saa 9:15 Hadi 10:00 jioni na redio Maria siku ya jumanne sa 8:00 Hadi 9:00. Ukipata muda fuatili hakika tutajifunza mengi. Kwa pamoja tuungane kupiga Vita ushoga. wanaume tunadhalilika Sana!
 
Back
Top Bottom