Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
- Thread starter
-
- #21
hebu jaribu kuimagine, Joti na wajinga wengine, anapovaa na kujirembua kama mwanamke kwa kigezo kwamba anaigiza tu.Tumelea upuuzi sasa unatugharimu ... Tulichagua kuwekeza zaidi kwenye siasa na kusahau taaluma na weledi.. Tuliwekeza zaidi kuhakikisha chama chawala kinabakia madarakani matokeo yake ndio haya sasa!
wewe huwezi kuelewa hili kwasababu hata wewe ni shoga na akili zako zote ni za kishoga. Mungu akusaidia.Kwa nini wewe unauogopa ushoga? Una sababu gani za kuhofia ushoga kiasi hicho?
Mzee, wewe ndo hueleweki, na hujui kama haueleweki. wewe unajiona kama unaeleweka lakini hata hueleweki kabisa.Tatizo la wabongo bnana yaani ni watu wepesi wa kudakia mambo!!halafu si muda mrefu utasikia ziiiiii!!hatueleweki hata tunataka nini,yaani baada ya hili jambo kuibukia kenya sasa ni kwendq na upepo tu...
Mambo kama haya hapa si ni kampeni tosha ya kupigia chapuo ushoga!!Unashangaa BASATA wanatoa kibali cha huu upuuzi kurushwa kwenye TV na msanii akiichana serikali wimbo wake unafungiwa.
Walipo peleka mboga.Alafu watakula wapi?!
Mwingine huyu.Fanya ya kwako ya msingi yanayokuhusu,,ukitaka fatilia ya walimwengu utachizika bure
Ndicho nilichomaanisha mkuu kuwa kinachoshangaza ni BASATA kutoa vibali kwenye huu upuuzi na huwa wepesi sana kufungua nyimbo za harakati....wtfMambo kama haya hapa si ni kampeni tosha ya kupigia chapuo ushoga!
Kijana wa Kiume Dulla a.k.a Dada Zuu anavaa madera, anavaa mawigi, anajipodoa, anapoz kama mwanamke na anataja mwanaume mwenzie kuwa mume wake...
Shida sio RizikiSasa ushasema ni waigizaji. Wako kila nchi sio Tanzania tu huko America kuna hata yule madea au Martin Lawrence aliyeigiza big momma. .
Shida sio uigizaji wale wanatafuta riziki
Unamanisha kwa sababu wanaume wataigiza kama mwanamke itawafanya wawe mashoga😊🤣 hii connection mloyoiunganisha sio kwel. Je hawa mashoga ambao wamavaa nguo za kiume ambao hawataki wajulikane ?Shida sio Riziki
Anaiaminisha jamii kuwa, mwanaume kuvaa /kuigiza kama mwanamke ni jambo la kawaida,pili hata kufanyiwa anavyofanyiww mwanamke pia itakua ni kawaida
Kwannini nafasi anayoigiza kama mwanamke asikae mwanamke,au inalazimu mwanaume anaefanana na mwanamke?
Mazoea hujenga tabiaNdicho nilichomaanisha mkuu kuwa kinachoshangaza ni BASATA kutoa vibali kwenye huu upuuzi na huwa wepesi sana kufungua nyimbo za harakati....wtf
Embu nipe sababu ya msingi kwanini mwanaume aigize kama mwanamke,ingali wanawake wapo?Unamanisha kwa sababu wanaume wataigiza kama mwanamke itawafanya wawe mashoga[emoji4][emoji1787] hii connection mloyoiunganisha sio kwel. Je hawa mashoga ambao wamavaa nguo za kiume ambao hawataki wajulikane ?
Hii nadharia tu ndugu uigizaji au maigizo hayapelekei mtu awe hivyo ni tabia zake binafsi kitambo au laana aliyozaliwa nayo
Ushasema anaigiza very clear. Hakuna shida pale mwanamke anapoigiza kama mwanaume but its a problem a man acting?Embu nipe sababu ya msingi kwanini mwanaume aigize kama mwanamke,ingali wanawake wapo?
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji817]Waanze na dullvani, haraka sana dogo yule kachakatwa rindaa
Kuna yule mmoja pia anajiita Zack pungaseseWaanze na dullvani, haraka sana dogo yule kachakatwa rindaa
Pengine wewe huwezi fanya hivyo,ila ukikaa kwenye nafasi kama ya dulivan utaelewaUshasema anaigiza very clear. Hakuna shida pale mwanamke anapoigiza kama mwanaume but its a problem a man acting?
Ila tatizo kuwa mnadhani huu uigizaji husababisha ushoga? Nawaza ni mashoga wangap walikuw wanaigiza kama wanawake? bongo movie
Na anafuatilia kwa weledi KITIMTIMMtoa mada anajifanya hajui, sio JUA KALI kwani kuna ubaya ukisema tu huwa unaangalia KITIMTIM?
Dulvan ni shoga hajawah kuwa mwanaume. Tolea mfano mtu mwingine. Kuna wengi sana najua ni maigizo tu. .Pengine wewe huwezi fanya hivyo,ila ukikaa kwenye nafasi kama ya dulivan utaelewa