Ushauri wako ni muhimu hapa

Ushauri wako ni muhimu hapa

Kama kuna uwezekano itabidi wazazi wajipapase hata nusu ya hicho kiasi ili muende kureport nyote,ila ninachokusihi usithubutu kuahirisha mwaka!!

Aaaaah kaka cc tuliwaza tofauti ikibidi mmoja wetu ahairishe chuo kumbe hatukuwa tumewaza vizur na automatically mm ndo inge nihusuuu ila nashukuru kaka kwa ushauri
 
Nenda chuo hayo mengine muombe Mungu coz nina uhakika hukuchaguliwa chuo kwa bahati mbaya Mungu anamakusudi na Maisha yako na ndio maana akasaidia ukachaguliwa chuo. Mtegemee sana Mungu na ung'ang'anenae haswa maana kwenye bible anasema atakaenitafuta kwa BIDII ataniona. Don give up fanya maombi na ikiwezekana nenda kwa Mtumishi wa Mungu wa kuaminika akakuombee nawe uzidi kumsihi Mungu Chuo utasoma tuuu. Mungu ananjia nying sna za kukusomesha anaweza akafungua milango pengine hata pesa ya mkopo usiihitaj tena. So chukua hatua ya Imani na Ufanye hvyo.

God bless yu
 
Daaaa kweli kuwa uyaone wakati nipo.4m6 nilikuwa najiona kila kitu nime maliza huku ni mtelemko kumbeee duuuu

apo ndio bado waweza kukopa hela uingie chuoni, ukapewa na ahadi ukatoa, siku ya ahadi ikafika boom bado
 
Mi nakushauli subiri maana hicho chuo wanajua board hawajatema bado na watu wengi wanategemea board ndo waende kwa hiyo hawawezi kufanya chochote mpaka board wateme mi mwenyewe naweiti board ndo niende
 
achana na hicho chuo,n gharama mno.ww airisha mwaka uapply upya mwakani vyuo vya serkal
 
Ccm inaua ndoto za vijana wengi sana,pesa ambayo ingelipia vijana wetu wasome vyuo imeteketezwa BMK ambapo ile katiba wange-edit hii ya 77 na kuiprint upya maana hii walioyoitoa haina tofauti na hii ya 77,pesa imeteketea kwenye tume ya warioba! Pole vijana ambao mnaumiza vichwa!

CC: Tema Mate

mkuu hakuna katiba MPYA zaidi ya kuwahadaa watanzania,kilichofanyika ni marekebisho kidogo ya katiba ya mwaka 77,ccm iache kabisa kudanganya umma kwa kusema huu ni mchakato uliozingatia maoni ya wananchi wakati tumewaona dhahiri wakichakachua maoni ya watanzania walio wengi,huku demokrasia kwa upande wao ikimaanisha kura ya ndio tu,wote waliosema hapana wakaundiwa kamati ya maridhiano
 
Last edited by a moderator:
Ushauri wangu ni kama ifuatavyo
Kesho ni tarehe 9, nenda website ya TCU Utaona Transfer Remaining Slots for 2014/2015 Academic Year then utaona vyuo ambavyo bado vinahitaji wanafunzi,,uaweza kufanya Transfer na maelezo ya Transfer ni hapo website ya TCU
Call for Transfers for 2014/2015 Academic year AMBAPO ukurasa wa tatu pana hiyo form na Deadline ni keshokutwa tarehe 10omba transfer kiufupi itabidi uidownload hyo form then uijaze then nenda Stationary kai Scan form the itume kwenda admission@tcu.go.tz . ni bure kutuma TCU then kama umekubaliwa watakutumia msg ambapo utatakiwa kulipia 30000,, ungekuwa umetaja na Kozi uliyochaguliwa ningekupa jibu na vyuo ambavyo kwa kozi hiyo utapata kiurahisi,,,,siku nyingine unapoomba ushauri hebu weka kila kitu ili anaekulekeza asifiche kitu na asiache kitu... Mwamini Mungu katika Transer im sure utafanikiwa,,,,kabla ya kudownload form mwombe Mungu unapojaza Mwambie Mungu unapohamisha wengne na mimi usinipite,, hakika Mungu hatakuacha kamwe,,,,ntafte kwa 0654485211/0754485211 nitakusaida kwa msaada zaidi na kwa maelezo zaidi na pia nitafte ili nikupe Namba ya mtu wa Bagamoyo anaingia foruth year Law..Nitafte kijana usisite au kwa usiu wa leo waweza kunitext mwisho saa 1 asubuhi kunitext
 
Back
Top Bottom