Ushauri wangu ni kama ifuatavyo
Kesho ni tarehe 9, nenda website ya TCU Utaona
Transfer Remaining Slots for 2014/2015 Academic Year then utaona vyuo ambavyo bado vinahitaji wanafunzi,,uaweza kufanya Transfer na maelezo ya Transfer ni hapo website ya TCU
Call for Transfers for 2014/2015 Academic year AMBAPO ukurasa wa tatu pana hiyo form na Deadline ni keshokutwa tarehe 10omba transfer kiufupi itabidi uidownload hyo form then uijaze then nenda Stationary kai Scan form the itume kwenda
admission@tcu.go.tz . ni bure kutuma TCU then kama umekubaliwa watakutumia msg ambapo utatakiwa kulipia 30000,, ungekuwa umetaja na Kozi uliyochaguliwa ningekupa jibu na vyuo ambavyo kwa kozi hiyo utapata kiurahisi,,,,siku nyingine unapoomba ushauri hebu weka kila kitu ili anaekulekeza asifiche kitu na asiache kitu... Mwamini Mungu katika Transer im sure utafanikiwa,,,,kabla ya kudownload form mwombe Mungu unapojaza Mwambie Mungu unapohamisha wengne na mimi usinipite,, hakika Mungu hatakuacha kamwe,,,,ntafte kwa 0654485211/0754485211 nitakusaida kwa msaada zaidi na kwa maelezo zaidi na pia nitafte ili nikupe Namba ya mtu wa Bagamoyo anaingia foruth year Law..Nitafte kijana usisite au kwa usiu wa leo waweza kunitext mwisho saa 1 asubuhi kunitext