Noel france
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 1,104
- 917
Haya wataaramu mtoeni shaka jamaa,mimi nathani mwanao akizaliwa atakuwa mtoto mkimya sana,yaaani sio mtoto mtundu.
Hongera baba kijacho.
Mkeo anaenda clinic? Hebu kamata mkono muende nae clinic, mkae na dr muelezwe kila kitu.
ni kweli, nenda kwa daktari anayejua haya. Itafahamika kama ana tatizo ama la.
asante bibie,kiukwel amekwisha anza kuudhuria clinic na pia amekwisha anza kutumia doz ya kwanza ya sp. Ila kule clinic walituambia tuendele kusubiri ifike wiki ya 17 ambazo zimekwisha pita na sasa wife amefikisha wiki ya 20 sawa na miezi 50 lakini toto alichezi kabisa. Binafsi nahisi uwenda labda kunatatizo. Kwahiyo nikaona nipate mawili matatu humu ili nijue wapi kwa kuanzia
Mkuu ucwe na shaka kwa miezi 5 mtt kutocheza Nina jirani yangu 1 yy Mke wake alikaa hadi miezi 8 bila kumckia Mtt akicheza kila akienda CLINIC vipimo vinaonyesha mtt yuko sawa Hadi ss ameshajifungua so Ondoa shaka mkuu kid atatoka salama2! Manake km kungekuwa na tatizo lolote Afya ya mama ingekupa majibu hata hivyo Nenda hospt kwa uhakika zaidi!
Ni mtoto wa ngapi? Kwa mimba ya kwanza wapo wanaosikia mtoto akicheza late coz wanakuwa hawajazoea but pia inategemea na position ya mtoto katika tumbo..20 weeks is too early kuwa worried,japo ni vema umuone daktari kwa ajili ya screening.
Kumbe huwa kuna muda lazima aanze kucheza nlikuwa sina idea ππππ
Mkuu watalaamu wengine wanasema mtt anatakiwa kuanza kucheza wiki ya 20, lkn pia mama km ni ujauzito wa kwanza anaweza akashindwa kujua mapema km ameanza kucheza sababu huwa kiki zake ni za taratibu sana.. kwa uhakika kafanyeni ultra sound itasema yote.. Hongereni na kila la kheri
kaka tuliza mzuka badooooooooo