Noel france
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 1,104
- 917
Wana jamvi habari za mchana. Wandugu uwanawaheshmu sana kwa ushauri mnaotoa. Kwani nimekwisha nufaika na ushauri wenu.
Leo ninajambo ambalo naliona kama si lakawaida kwa mke wangu. Jambo lenyewe ni kwamba:- mke wangu anaujauzito ulikia miezi mitano (wiki ya 20 ). Tatizo ni kwamba mbaka sasa anasema mtoto hajamsikia akicheza tumboni.
Binafsi ninavyo tambua kuhusu mtoto kucheza tumboni uwa kwanzia wiki ya 17.
Kwahiyo ndugu zangu ningependa kufahamu kama nitatizo ama ni hali ya kawaida?
Cc: Mzizi mkavu,washawasha, na n.k