Ushauri wako ni muhimu sana

Ushauri wako ni muhimu sana

Pole.... Ila cha kukushauri we tulia take it easy kama haijatokea,,,take it as opportunity to your life,,, jifunze kutokana na makosa,,,
 
Hii ni ngumu kidogo, ila mkaushie kwa muda hivi then baadae mtafute kwa namba nyingine (isiwe yako) kama unataka simu.
Chukua wana nendeni mkamtaitishe sehemu kiume zaidi ili kupooza machungu, lakini kwa haki huwezi pata msaada.
Sawa mkuu
 
Umepata darasa kwa maumivu makali...ukitaka kuipambania utapozea zaidi.
 
Kwa vyombo vya Sheria kiukweli utapoteza muda,tu ningekuwa na roho mbaya ningekushauri ukawaminye mbupu Kwa mganga👺,ila kwakuwa imeandikwa samehe 70x7,basi tena ila umeibiwa kiboya sana mkuu.
 
Kwa vyombo vya Sheria kiukweli utapoteza muda,tu ningekuwa na roho mbaya ningekushauri ukawaminye mbupu Kwa mganga[emoji84],ila kwakuwa imeandikwa samehe 70x7,basi tena ila umeibiwa kiboya sana mkuu.
Kuna watu wa kuwasamehe ila sio hao wezi
 
Nenda pale msimbazi police kula sahani Moja na police rudisha nusu ya hasara mle pasu pasu
 
Back
Top Bottom