Ushauri wako tafadhali: ni lazima amwage haja kubwa kipindi anafika kileleni

GRAMAA

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2014
Posts
1,241
Reaction score
3,800
Huyu binti anachangamoto kubwa sana ambayo ni yakushangaza.

Ukiwa unagegedana naye anapoanza tu kufika kileleni yaani ni lazima anye mavi ya kutosha tu. Utashangaa kusikia harufu ya kinyesi cha mtu mzima kitandani ghafla.
Baada ya hapo anaanza kulia huku anaomba msamaha usimwache kwani anadai wanaume wengi sana wamemkimbia kwa sababu hiyo tu ya kutoa kinyesi kitandani kipindi anafika kileleni.

Akiwa hajafika kileleni hata umgegede vipi kinyesi hakitoki hata kidogo. Shida inakuja pale tu anapofika kileleni mavi lazima yamwagike kitandani.

Anadai kwamba huwa anasikia raha ya ajabu na hata anakuwa hajui kinyesi kimetoka saa ngapi anakuja kushituka ameshakunya tayari.

Juzi aliniomba nimsaidie kama kuna tiba yoyote anaweza kupata kwani alilia sana na ni huruma sana.

Na ninashukuru sikuwahi kukutana naye gest. Toa ushauri wako tafadhali
 
MAGALLAH R,
Ana tatizo la misuli ya kwenye haja kubwa, imelegea yawezekana alikua apigwa nyuma misuli ikalegea au alibakwa nyuma akiwa mtoto misuli ikalegea kwa hiyo inashindwa kubana wakati wa kugegedana
 
Huyu binti anachangamoto kubwa sana ambayo ni yakushangaza.

Ukiwa unagegedana naye anapoanza tu kufika kileleni yaani ni lazima anye mavi ya kutosha tu. Utashangaa kusikia harufu ya kinyesi cha mtu mzima kitandani ghafla.
Baada ya hapo anaanza kulia huku anaomba msamaha usimwache kwani anadai wanaume wengi sana wamemkimbia kwa sababu hiyo tu ya kutoa kinyesi kitandani kipindi anafika kileleni.

Akiwa hajafika kileleni hata umgegede vipi kinyesi hakitoki hata kidogo. Shida inakuja pale tu anapofika kileleni mavi lazima yamwagike kitandani.

Anadai kwamba huwa anasikia raha ya ajabu na hata anakuwa hajui kinyesi kimetoka saa ngapi anakuja kushituka ameshakunya tayari.

Juzi aliniomba nimsaidie kama kuna tiba yoyote anaweza kupata kwani alilia sana na ni huruma sana.

Na ninashukuru sikuwahi kukutana naye gest. Toa ushauri wako tafadhali

😂😂😂😂😂😂😂......Dahh..pole sana...hapo hata mimi siwezi lazima nipite chocho...
 
Umejaribu kuangalia na njia ya hicho kinyesi kinatoka kama iko sawa au unapigwa changa la macho hapo
 
Back
Top Bottom