Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 9,266
- 7,426
Pole sana mpeleke Hospitali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi akitumia choo kabla ya tendo, haisaidii?Kuna sehemu yoyote nimesema namlawiti
Wanaume wenzio wote wenye akili wamemkimbia we ndio unataka kujidai kidume kukomaa..? Kuna mizigo mingine sio lazima uibebe mkuu, unafikiri ingekua ni wewe unatatizo hilo au husimamishi huyo mwanamke angekaa na wewe..? Matatizo yaje mbele huko, sio unaanza na mtu from day one unajua kabisa ana tatizo na wewe sio uliemsababishia hilo tatizo halafu unakomaa.
😁😁😁Wanaume wenzio wote wenye akili wamemkimbia we ndio unataka kujidai kidume kukomaa..? Kuna mizigo mingine sio lazima uibebe mkuu, unafikiri ingekua ni wewe unatatizo hilo au husimamishi huyo mwanamke angekaa na wewe..? Matatizo yaje mbele huko, sio unaanza na mtu from day one unajua kabisa ana tatizo na wewe sio uliemsababishia hilo tatizo halafu unakomaa.
Hii mimi ilinikuta miaka kama 20 iliyopita wakati huo nikifanya kazi fulani mpakani mwa zambia na tanzania,nilimpata mrembo,mzuri naye alikuwa na shida hii,sasa niliamua kufanya mambo yafuatayo:Huyu binti anachangamoto kubwa sana ambayo ni yakushangaza.
Ukiwa unagegedana naye anapoanza tu kufika kileleni yaani ni lazima anye mavi ya kutosha tu. Utashangaa kusikia harufu ya kinyesi cha mtu mzima kitandani ghafla.
Baada ya hapo anaanza kulia huku anaomba msamaha usimwache kwani anadai wanaume wengi sana wamemkimbia kwa sababu hiyo tu ya kutoa kinyesi kitandani kipindi anafika kileleni.
Akiwa hajafika kileleni hata umgegede vipi kinyesi hakitoki hata kidogo. Shida inakuja pale tu anapofika kileleni mavi lazima yamwagike kitandani.
Anadai kwamba huwa anasikia raha ya ajabu na hata anakuwa hajui kinyesi kimetoka saa ngapi anakuja kushituka ameshakunya tayari.
Juzi aliniomba nimsaidie kama kuna tiba yoyote anaweza kupata kwani alilia sana na ni huruma sana.
Na ninashukuru sikuwahi kukutana naye gest. Toa ushauri wako tafadhali
Unamfahamu, P diddy, kama unamfahamu tumia akili mnembaHuyu binti anachangamoto kubwa sana ambayo ni yakushangaza.