Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,081
- 10,455
Habari makamarada.
Jana nimemsikia spika wa Bunge bibi Tulia mwansasu katika Ibada ya mazishi ya aliyekuwa spika comrade Job ndugai akimuhakikishia Rais Samia kuwa eti waliopo upande wake ni wengi kuliko wasiyo upande wake.
Nimeguswa kueleza machache. Naomba ieleweke kuwa Wana CCM walioguswa na namna mchakato wa kumpata mgombea na mgombea mwenza ndani ya chama tupo na tupo wengi tu. Hakuna shaka Rais Samia atapitishwa na tume ya taifa ya uchaguzi kuwa Rais Tena kwa awamu nyingine lakini napenda kuwahikikishia kuwa CCM hii iliyobariki huu udhalimu haitabaki salama.
Ushauri binafsi kwa mwenyekiti wetu Rais Samia kama Kuna uwezekano itisha kikao cha mkutano mkuu Tena hapa katikati kabla ya uchaguzi nashauri kiwe kikao cha ndani kujadiliana na wanachama na kuweka mustakabali sawa kwa manufaa ya chama chetu. Wanaokushangilia huku pembeni Wanakusema vibaya usiwaamini sana.