Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,081
- 10,455
Ushauri binafsi kwa mwenyekiti wetu Rais Samia kama Kuna uwezekano itisha kikao cha mkutano mkuu Tena hapa katikati kabla ya uchaguzi nashauri kiwe kikao cha ndani kujadiliana na wanachama na kuweka mustakabali sawa kwa manufaa ya chama chetu. Wanaokushangilia huku pembeni Wanakusema vibaya usiwaamini sana.Habari makamarada.
Jana nimemsikia spika wa Bunge bibi Tulia mwansasu katika Ibada ya mazishi ya aliyekuwa spika comrade Job ndugai akimuhakikishia Rais Samia kuwa eti waliopo upande wake ni wengi kuliko wasiyo upande wake.
Nimeguswa kueleza machache. Naomba ieleweke kuwa Wana CCM walioguswa na namna mchakato wa kumpata mgombea na mgombea mwenza ndani ya chama tupo na tupo wengi tu. Hakuna shaka Rais Samia atapitishwa na tume ya taifa ya uchaguzi kuwa Rais Tena kwa awamu nyingine lakini napenda kuwahikikishia kuwa CCM hii iliyobariki huu udhalimu haitabaki salama.
Ushauri binafsi kwa mwenyekiti wetu Rais Samia kama Kuna uwezekano itisha kikao cha mkutano mkuu Tena hapa katikati kabla ya uchaguzi nashauri kiwe kikao cha ndani kujadiliana na wanachama na kuweka mustakabali sawa kwa manufaa ya chama chetu. Wanaokushangilia huku pembeni Wanakusema vibaya usiwaamini sana.
"Kwa mustakabali wa chama chetu" na si nchi tenaHabari makamarada.

Pale juu kwenye pyramid ni patamu sana hawezi kukusikiliza wewe na ushuzi wako unaomjambia,Ushauri binafsi kwa mwenyekiti wetu Rais Samia kama Kuna uwezekano itisha kikao cha mkutano mkuu Tena hapa katikati kabla ya uchaguzi nashauri kiwe kikao cha ndani kujadiliana na wanachama na kuweka mustakabali sawa kwa manufaa ya chama chetu. Wanaokushangilia huku pembeni Wanakusema vibaya usiwaamini sana.
Slow Slow alimwambia asichukue fomu la sivyo atakufa kachukua fomu sisi tunasubiri kuchimba kaburi tuHuyo mama kaweka pamba masikioni. Wacha tuone hao Wana Mtandao watamfikisha wapi. Kesho wenye serikali watakupa mlimani city kutoa fedha za kampeni uchwara.
Wewe Wana CCM nchi nzima unawajua?sijawahi kukuona kuwa mwanaccm kindakindaki humu jamvini.
Weka ushahidi wa kuthibitisha kuwa wewe ni mwanaCCM
Afe au asife tunasema kavunja katiba na kanuni za kumpata mgombea Urais wa CCMSlow Slow alimwambia asichukue fomu la sivyo atakufa kachukua fomu sisi tunasubiri kuchimba kaburi tu
wewe ni mwanaCCM ama mwenye CCM?? Maana hivyo ni vitu viwili tofauti.Habari makamarada.
Jana nimemsikia spika wa Bunge bibi Tulia mwansasu katika Ibada ya mazishi ya aliyekuwa spika comrade Job ndugai akimuhakikishia Rais Samia kuwa eti waliopo upande wake ni wengi kuliko wasiyo upande wake.
Nimeguswa kueleza machache. Naomba ieleweke kuwa Wana CCM walioguswa na namna mchakato wa kumpata mgombea na mgombea mwenza ndani ya chama tupo na tupo wengi tu. Hakuna shaka Rais Samia atapitishwa na tume ya taifa ya uchaguzi kuwa Rais Tena kwa awamu nyingine lakini napenda kuwahikikishia kuwa CCM hii iliyobariki huu udhalimu haitabaki salama.
Ushauri binafsi kwa mwenyekiti wetu Rais Samia kama Kuna uwezekano itisha kikao cha mkutano mkuu Tena hapa katikati kabla ya uchaguzi nashauri kiwe kikao cha ndani kujadiliana na wanachama na kuweka mustakabali sawa kwa manufaa ya chama chetu. Wanaokushangilia huku pembeni Wanakusema vibaya usiwaamini sana.
SIKIO LA KUFA huyo, yuko tayari afie madarakani.Habari makamarada.

Mfuate Mpina mbona bado mapema tu!Habari makamarada.

Huyo mama kaweka pamba masikioni. Wacha tuone hao Wana Mtandao watamfikisha wapi. Kesho wenye serikali watakupa mlimani city kutoa fedha za kampeni uchwara.