georgeallen
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 4,118
- 1,875
ongeza na hivi:vyoo+sinks + fittings+tiles za chooni+ W Basings + bidets + ufundi + Grill + .........makisio ya haraka uwe na 40mDuh! asante mkuu. Hela yetu kweli sasaiv madafu, sijui lini itakuwa nazi
Duuuh! Mkuu king kong III vipi tena, haya niunganishe basi nikamkope (ila kulipa mpaka matanga)Mtanzania mwenye utajiri wa hajabu davis mosha by le mutuz
Asante mkuu kwa ushauri murua na wenye matumaini, wacha niangalie wapi nikakope hiyo 5mhaitoshi mkubwa hiyo nyumba kubwa ongeza 5m hv
Duh! asante mkuu. Hela yetu kweli sasaiv madafu, sijui lini itakuwa nazi
Duuuh! Mkuu king kong III vipi tena, haya niunganishe basi nikamkope (ila kulipa mpaka matanga)
Shukurani. Idadi ya milango iko nadhani 12 au 11 hivi
Hazitoshi kwa haraka tu....
Bati sio chini ya 7m, mbao 5m, milango 3.5m (frem+mlango+vitasa), tiles 2m, aluminium 4m, bado umeme, rangi, makabati, tiles, plast, rangi, gypsum etc
Ukifikia kwenye mbao na bati hapo nicheki kwenye no. 0762525846,kiwaleisaya@gmail.com,www.kiwalepromo.blogspot.com. hizo ndio kazi zangu mkuu.nitakuletea mpaka uwanjani kwako bureeee
Ni ushauri mzuri huu mkuu, na kwa kuwa mwanzo siku naujua lakini nitaufanyia kazi kikamilifu. Kwa hiyo hoja yako ni kwamba milango ya Aluminium ni rahisi sana kuliko ya mbao siyo, je waweza jua mlango mmoja waweza kadiriwa kiasi gani. Otherwise shukrani sana, bila shaka JF jukwaa la kipekee kwa ushauri kwa sisi vijana wanyongeSasa kwa milango 11 alafu mbao ya mninga. Itaweza kukugharimu si chini ya mil 6 mpaka 10. Lakini ungeweza kupunguza matumizi kwa kuweka milango ya aliminium ndani na nje kuweka mlango wa mbao
Ooooooookey, nimekupata sana bwana King Kong III, ni kweli kabisa wako watu huwa wanapenda kushindana na level ya binaadamu. Umekuja na idea pana sana ya kufikiria maisha halisi badala ya kutaka maisha kama watu wa Kuwait. Nadhani huu ndio ugonjwa wetu watanzania kama siyo dunia nzima. Ila mbao za mnazi mhh? Hiyo nyumba itaishi kwa miaka mingapi kwa mbao hizo?Haina Haja ya kukopa JF likija swala nyumba wanaweka bei za hajabu ambazo wao wamepigwa ebu fikiria kuna mdada humu ramani ya nyumba tu alichorewa kwa 2.5m! Kiukweli hyo fedha inatosha na chenji inabaki siwezi nikaweka mambo yote hapa ila inatosha! Ulishawah kufikiria kench za mnazi? Zinaponguza gharama karibia 65% ingekuwa kazi yangu hyo juu ningetumia 2m,milango ningeagiza mkoa yote ningeweza kusave 30% madirisha ninge order china mwenyewe ningesave 40% katika hyo 25m ningebakiwa na 10m
Ooooooookey, nimekupata sana bwana King Kong III, ni kweli kabisa wako watu huwa wanapenda kushindana na level ya binaadamu. Umekuja na idea pana sana ya kufikiria maisha halisi badala ya kutaka maisha kama watu wa Kuwait. Nadhani huu ndio ugonjwa wetu watanzania kama siyo dunia nzima. Ila mbao za mnazi mhh? Hiyo nyumba itaishi kwa miaka mingapi kwa mbao hizo?
Ukweli mchungu ila haitoshi mkuu
approximately
Bati 3m + fundi
mbao kench 1.2 + fundi
Blandering laki 5 + fundi
Madirisha 1.5 laki@
Mniga frame 80 thou@
Top 130@+hinges+locksets+stoppers+finishing materials(sanding seal,wod glue&polish)+ufundi
Gypsum board 12500@pc + Mikanda 3500@+ corners 4000@+ powder 16500/bag+ scrws+ fiber tapes+ufundi
Tiles kujenga 3000/sqm+cement 25bags@16000+tiles granite /unpolished+scating20000@box+ grout
umeme kuna wiring na fittings+ufundi+service line
maji kuna plumbing+furniture + sewerage+ufundi
Ukuta kuna skimming na rangi yenyewe+white cemnt/G-powder+ufundi
Makabati ya jikoni kunambao+marble/tiles+ufundi
Mkuu andaa hiyo na contingency (20-30%) just in case
Really umenisaidia na mimi, thanx for this
Haina Haja ya kukopa JF likija swala nyumba wanaweka bei za hajabu ambazo wao wamepigwa ebu fikiria kuna mdada humu ramani ya nyumba tu alichorewa kwa 2.5m! Kiukweli hyo fedha inatosha na chenji inabaki siwezi nikaweka mambo yote hapa ila inatosha! Ulishawah kufikiria kench za mnazi? Zinaponguza gharama karibia 65% ingekuwa kazi yangu hyo juu ningetumia 2m,milango ningeagiza mkoa yote ningeweza kusave 30% madirisha ninge order china mwenyewe ningesave 40% katika hyo 25m ningebakiwa na 10m