Kwa jinsi ulivyooleza hapo ningekuwa mimi, kwa hizo 25M ninge focus kwenye vitu vya muhimu ili nyumba iweze kukalika kwanza halafu mambo mengine yatajipa nikiwa humo kwangu, kuliko kuifanya nyumba iishe haraka pasipo na ubora sahihi then baada ya kuhamia unaanza kuvunja hapa na pale , na kubadili baadhi ya sehemu, hio haipendezi, so ni muhimu kufanya vitu vichache ila vya ukweli hayo mengine yataendelea nikiwa humo ndani pia kwa ubora mzuri, na ukisema uache kujenga unajidanganya maana kila siku vitu vinapanda bei fanya hivyo kama umedhamilia, focus na kuezeka kwa hizo msauzi, weka mninga milango ya mbele na nyuma vitasa vya ukweli hata kama ni sh laki 2, weka grill za madirishani na milangoni mbele na nyuma, weka condrich za wiring pia mabomba kwa ajiri ya sytem ya maji,then fanya paster, weka choo cha public then angalia kinachosalia.
Note kwako ni kwako hata kama utakaa kwenye vumbi kwa muda, kwani barabarani utembea kwenye tiles?