Ushauri: Wanasiasa mnaojijua bado hamjamaliza Uhuni wenu mkiteuliwa na Rais muwe mnakataa ili msije Kumharibia na Kujiaibisha

Where we dare to speak openly ...mkuu haujautendea kazi huu msemo
 
Sharti moja wapo la kusema kwa mafumbo ni kuvaa khanga kwanza huku ikiwa imefungiwa kifuani pengine mleta mada naye amelitekeleza sharti hilo kwa moyo mmoja na kwa kulifurahia
 
Billy Clinton alikuwa malaya na akaitawala USA
kwa mila za kiafrika zip au kunyanyua sketi sio issue
tunachotaka ni utawalabora
Ndio maana tunataka semina za Ngurdoto km Rais wa awamu ya 4 alivyotupeleka
 
Gentamycine anasemaje kuhusu hilo ?
 
Mungu alimuumba Adam tu!!

Mungu alimfanya mtu(Eva/Hawa).

Sisi wengine ni matokeo yao,wengine ndoani,na wengine umalayani.

Usimuhusishe Mungu kwenye ujinga na upumbavu wa jamii ya sasa!!
 
Huyu kwa vyovyote ni yule mama mcharuko
I
la huyu mama ni kama haziko sawa kichwani
 
Yule ni kabila moja na mwigulu, kitila mkumbo, dorothy, jairo kituntu, na nadhani sifa za mkoa wao unazijua hazitofautiani sana na wahaya, wanyiramba, wanyaturu, warangi, wambulu sasa unachoshangaa ni nini?
Wewe naona unawataka watu maneno. Una ushahidi na hayo unayoyasema? Una ushahidi kwamba makabila hayo yanapenda kusokotana?
 
We vipi, Ndo twapenda ivyo sie ccm , mauno n.k, utaki nenda Chama kingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…