Kwani mwanaume akizimia inakuaje hzo ni ajali tu na yaweza mtokea hata mwanaume
anzeni nyie kutembea na kanga
upuuuzi tu huo
Kubeba kanga kuna husiana vipi na ushamba?...lol achana nao manake wao ndio washamba vile wana majibu mepesi yasiyo na maana..Waambie wasikie, maana mie huwa nikiwaambia hata hapa ofisini kwangu tembeeni na khanga kwenye handbag zenu wananiambia mie mshamba. eti " akipata tatizo atanunua hapo atakapokuwa" nachoka mie.
​huwezi kumtambua chura kwa kumtazamaKwani mwanaume akizimia inakuaje hzo ni ajali tu na yaweza mtokea hata mwanaume
anzeni nyie kutembea na kanga
upuuuzi tu huo
Hehehe! Kumbe King'asti hakukupa eeh? Nilimwachia kabla hatujaenda mgombani...kwa mwanamke khanga si kwa ajili ya kufunikwa ukizimia tu, wanawake tuna mambo mengi na ukiwa na khanga utasitirika, nadhani mleta mada ana nia safi kabisa sioni sababu ya kuwaambia na wanaume nao wavae khanga! Wakati mwingine tuko too sensitive unnecessarily!
SL rudisha ule upande wa kanga yangu iloandikwa 'utamu wa shoki shoki nyama peke yake'....ile ingine nakuachia
Hehehe! Kumbe King'asti hakukupa eeh? Nilimwachia kabla hatujaenda mgombani...
Bee kanga au mtandio ni vitu vya muhimu sana kwa wadada/wamama, mie bado sijaelewa wanaume wanaambiwa wabebe kanga ili iweje....kama mtu hana cha kuchangia kwenye mada ni vizuri pia kama atabakia kuwa msomaji...lol.
Afu leo nimesahau kuweka kanga kwenye handbag yangu, nakupitia hapo unigee kipande kimoja manake wewe unabebaga viwili.
Lol...na ole wako uwe hujaogea magadi siku za karibuni, nyota haing'ai ng'ooo! 11 kamili kwa saa za afrika ya kati ntakuwa hapo kwako..Huku ndo JF bana, inategemeana sana na nyota yako...lol
Njoo tu, I do not miss a shawl in my handbag, kuna mwingine niliacha ofisini utachukua huo!
what? Mwanamke anaetembea na khanga ndo hajitambui kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaashukran sana mleta mada na pole kwa mdada, tukirudi kwenye mada sidhan kama mwanamke anayejitambua amaweza kutembea na handbag bila kanga
Kwani mwanaume akizimia inakuaje hzo ni ajali tu na yaweza mtokea hata mwanaume
anzeni nyie kutembea na kanga
upuuuzi tu huo
Fafanua basi manake tusiojitambua tuko wengi humu.what? Mwanamke anaetembea na khanga ndo hajitambui kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Lol...na ole wako uwe hujaogea magadi siku za karibuni, nyota haing'ai ng'ooo! 11 kamili kwa saa za afrika ya kati ntakuwa hapo kwako..
Ngoja niwasiliane na watu wa huko ili wanisaidie kubadilisha...Heheheee itabidi unibadilishie ziwe ktk zile za afrika ya mashariki
Kwani mwanaume akizimia inakuaje hzo ni ajali tu na yaweza mtokea hata mwanaume
anzeni nyie kutembea na kanga
upuuuzi tu huo
Kwani mwanaume akizimia inakuaje hzo ni ajali tu na yaweza mtokea hata mwanaume
anzeni nyie kutembea na kanga upuuuzi tu huo
Mkeshaji,
Napata hisia kama ulimpa huyu dada "Mouth to Mouth" mzee
::: Cardio-Pulmonary U-rescusitation (CPU) :::