Ushauri: Wanawake jengeni utamaduni wa kutembea na japo kanga moja kwenye pochi zenu.

Kwani mwanaume akizimia inakuaje hzo ni ajali tu na yaweza mtokea hata mwanaume
anzeni nyie kutembea na kanga
upuuuzi tu huo

mwenzio anamaanisha nature ya mavazi ya kina dada.amboyo karibia yote kutoa surali yana acha mapaja wazi.hivyo ukikosa fahamu uwezi kujistiri kwa kubana na hapoo ndo khanga inahitajika we vipi?
 
Waambie wasikie, maana mie huwa nikiwaambia hata hapa ofisini kwangu tembeeni na khanga kwenye handbag zenu wananiambia mie mshamba. eti " akipata tatizo atanunua hapo atakapokuwa" nachoka mie.
Kubeba kanga kuna husiana vipi na ushamba?...lol achana nao manake wao ndio washamba vile wana majibu mepesi yasiyo na maana..

Jamani msisahau labda huyo mdada wa watu alikuwa na kanga kwenye handbag yake sema vile aina ya tatizo lililomtokea ni kupoteza fahamu ndio mana akashindwa kujisitiri.
 
Mkeshaji,

Napata hisia kama ulimpa huyu dada "Mouth to Mouth" mzee :lol:
 
kwa mwanamke khanga si kwa ajili ya kufunikwa ukizimia tu, wanawake tuna mambo mengi na ukiwa na khanga utasitirika, nadhani mleta mada ana nia safi kabisa sioni sababu ya kuwaambia na wanaume nao wavae khanga! Wakati mwingine tuko too sensitive unnecessarily!

SL rudisha ule upande wa kanga yangu iloandikwa 'utamu wa shoki shoki nyama peke yake'....ile ingine nakuachia
 
Hehehe! Kumbe King'asti hakukupa eeh? Nilimwachia kabla hatujaenda mgombani...

Bee kanga au mtandio ni vitu vya muhimu sana kwa wadada/wamama, mie bado sijaelewa wanaume wanaambiwa wabebe kanga ili iweje....kama mtu hana cha kuchangia kwenye mada ni vizuri pia kama atabakia kuwa msomaji...lol.

Afu leo nimesahau kuweka kanga kwenye handbag yangu, nakupitia hapo unigee kipande kimoja manake wewe unabebaga viwili.
 
Huku ndo JF bana, inategemeana sana na nyota yako...lol

Njoo tu, I do not miss a shawl in my handbag, kuna mwingine niliacha ofisini utachukua huo!
 
Lol...na ole wako uwe hujaogea magadi siku za karibuni, nyota haing'ai ng'ooo! 11 kamili kwa saa za afrika ya kati ntakuwa hapo kwako..
 
Shukran sana mleta mada na pole kwa mdada, tukirudi kwenye mada sidhan kama mwanamke anayejitambua amaweza kutembea na handbag bila kanga
 
shukran sana mleta mada na pole kwa mdada, tukirudi kwenye mada sidhan kama mwanamke anayejitambua amaweza kutembea na handbag bila kanga
what? Mwanamke anaetembea na khanga ndo hajitambui kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Lol...na ole wako uwe hujaogea magadi siku za karibuni, nyota haing'ai ng'ooo! 11 kamili kwa saa za afrika ya kati ntakuwa hapo kwako..

Heheheee itabidi unibadilishie ziwe ktk zile za afrika ya mashariki
 
Kwani mwanaume akizimia inakuaje hzo ni ajali tu na yaweza mtokea hata mwanaume
anzeni nyie kutembea na kanga
upuuuzi tu huo

Smile huogopi kwamba wewe utaonekana sio "mwanamke"kwa sababu kisa hubebi kanga??
 
ni dakika 3 tu na si 5 ubongo ukikosa oxgen..lazima ufe.....

asante kwa msaada uliotoa.....
 
Kwani mwanaume akizimia inakuaje hzo ni ajali tu na yaweza mtokea hata mwanaume
anzeni nyie kutembea na kanga upuuuzi tu huo

Daaah
Sikutegemea kuona comment ya hivi, tena ya mwanamke :shock:
 
Kazi nzuri sana mkuu, nimependa tha way ume-apply knowledge yako ku-save life
 
Back
Top Bottom