Ushauri wangu kuhusu Mtanzania aliyetekwa Nigeria

Hawatakiwi kwenda kijeshi, wanatakiwa kwenda Kijasusi kwenye hiyo mission!!
Hata kijasusi wakigindulika ni kosa hairuhusiwi huwezi ukaenda kufanya michezo km hio kwenye Nchi ya watu ukisababisha maafa makubwa kwa ajili ya watu wawili je
 
Sema wabongo hatunaga Siri ndio maana hawa wahuni wanatuchezea akili na kutuchezea masharubu
 
Mmh sdhani kama operation za kijeshi za nchi nyingine zinaruhusiwa kwenye nchi nyingine
Acha upumbavu mkuu,hapo juu umepewa mfano wa operation, na few years ago president kagame alituma commandos wake pale sandton, joberg na wakafanikiwa kufanya operation yao na kuondoka bila kuwa detected, hivyo hivyo na pale maputo Mozambique
 
Neno "upumbavu" mara nyingine li-edit lisomeke "usahaulifu" mkuu.
 
Hapa kinacho takiwa sio mabomu bali kikomboleo makaratasi ya kimarekani yenye thamani ndio yanayo takiwa
 
Hapa kinacho takiwa sio mabomu bali kikomboleo makaratasi ya kimarekani yenye thamani ndio yanayo takiwa
shida ni kwamba wakigundua sisi ni wepesi wa kufata masharti yao ya kutoa pesa, watochonga mzinga. utashangaa kila baada ya muda fulani, mtanzania anatekwa.
 
Acha upumbavu mkuu,hapo juu umepewa mfano wa operation, na few years ago president kagame alituma commandos wake pale sandton, joberg na wakafanikiwa kufanya operation yao na kuondoka bila kuwa detected, hivyo hivyo na pale maputo Mozambique
Koma mpumbavu unamjua ww? nmetoa mawazo yangu kwa uelewa wangu naomba heshima ichukue mkondo wake
 
Rescue mission hazihitaji silaha nzitonzito za kuzisafirisha kwa madege ya vita au malori. silaha kubwa ni uwezo wa kukusanya taarifa.

Nani waliomteka,agenda yao ni nini(siasa, dini,fedha),uwezo wao upoje,location ya hostage na kadhalika.
Sasa hapo kwenye kukusanya taarifa ukagundua uwezo wao ni silaha nzito si itabidi na wewe uende na silaha nzito zaidi au?
 
Kwa silaha gani walizonazo za SOF (Special Operations Force) kwa rescue mission ya thousands of kilometres from homeland. Waende uko kwenye unfamiliar terrain bila kuwa na reconn, intelligence wala uelewa na eneo si hao wenyewe utawapoteza.
Usilolijua ni usiku wa Giza mdogo wangu
 
Unafikiri hii ni movie
 
KUNA WATU HIMU PANYAROAD WAKIKOHOA TU MTAANI KWAO WANALAUMU POLISI ILA WAKWANZA KUBEZA MAJESHI YETU.
MGAMBO TU WANAFANYA KAZI KUBWA SEMBUSE WAKUBWA WAO.
SEKTA YA ULINZI WAKIAMUA KUACHA KUFANYA KAZI MWEZI TU, HALOO TUTATAFUTANA.
HIVI KWA NIJI MNAONA WENZENU HAWAFANYI KAZI? MBONA KAZI ZENU ZILIZOTUKUKA HATUZIONI?
 
Kama ipi? Acha uongo
Ushaambiwa ni SIRI 🤣🤣🤣. Uliwahi kusikia jeshi likitangaza limeua magaidi Mkiru, au kule mpakani na Msumbiji.

Operation za kijeshi kwa nchi yetu ni SIRI muda wote. Wewe jaribu ugaidi uone, hata familia yako hawatojua uko wapi, na hakuna atakayekuja kutoa taarifa yoyote. Milele.
 
Wewe unaijua nigeria

Unajua kuwa boko haram nyuma ya pazia inafadhiliwa na wanasiasa waislam wa nigeria miongoni mwao ni rais wa sasa wa nigeria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…