Ushauri wangu kuhusu Mtanzania aliyetekwa Nigeria

Tungekuwa na Rais hii nchi hakika angetuma hata keshi la.watu laki kumsaka mbongo mmoja huko nigeria
 
Tz hatuna huo muda wa kupoteza wala hizo gharama hatutaki! Worst enough As long as ishu yenyewe haihusu kuibakisha sisiem madarakani
 
Huwatakii mema hao makomandoo. Yale matofali wanayoyasambaratisha pale uwanja wa taifa siyo matofali hasa. Yana ratio ya 1 cement na 100 mchanga.
 
Watawekwa mtu kati? [emoji2][emoji2][emoji2]
 
Boko Haram imelishinda jeshi LA Nigeria, Nchi za Mali, burkinafaso, Niger zote zinasumbuliwa na islamic terrorism, majeshi hayana mbinu za kupambana na hv vikundi,
Magaidi hawapigani conventionaly,ni Vita ya kuviziana, ili uwashinde, inabidi na wewe uende kama gaidi, utumie mbinu za kimya kimya, covertly kama ilivyofanyika kibiti,
Kuwapereka hawa jwtz, watachinjwa wote, kwanza hawajuhi lugha ya wenyeji, hivyo vikundi vina ma informer wao kwenye vijiji,
Mfano, Israel huwa ina uwezo, wa kuua wapigananji wa Palestine kwa vile ina uwezo wa kupandikiza watu ndani ya hivyo vikundi, na MJ Israel na mwarabu wanafanana sana, jamaa wanaweza kutuma ma spy ndani kabisa ya Palestine, Ila kuvishinda HIV vikundi, unahitaji intelijensia ya ndani sana, usikilize mawasiliano Yao, ujue viongozi wao, wapi wanapata siraha, sio kwenda, kichwa, kichwa,
Ingekuwa Bora tukaomba msaada, wa, Israel, au misri,
Juzi, niliona vijana wa jkt, kwenye mahafari Yao, wanaonyesha jinsi ya ku assemble AK47 kwa, sekunde 10!! Nikasema whaaat, bado tupo nyuma sana, Kule Palestine, au, kwa, wakarenjin Kenya, hizo, Ak47 zinachezewa, na watoto wadogo wa miaka 7! W anajua kuzitumia bila hata kwenda jeshi ni, mtu ye yote anaweza, kijifunza kwenye mtandao,
Huwa najiuliza hawa wakwetu wanapotuonyesha jinsi walivyobeba mavitu mengi kama punda,huwa ni maonyesho ya ubaunsa! Maana vitani huwezi, kupigana umebeba mamizigo mengi kiasi hicho, unakuta mtu amebeba na gloves za boxing, sasa u najiuliza kwamba, akipigana na, adui risasi Zika Isha, anavaa gloves ili apigane ngumi na adui! ? Sasa lengo huwa ni kuonyesha weredi wa special elite forces, sasa kubeba mamizigo mengi, huwa wanapima u punda au ni ni!?
 
Kwanini kanisa lisitoe hizo pesa huyu ndugu aachiwe?, angekuwa mtumishi mzungu wasingekaa kimya.
Wakulaumiwa ni hao,waliompeleka huyo mwanafunzi,-huko kwenye hatari.Ni sawa hivi sasa kumpeleka mwanafunzi,akasome Urusi,Ukraine,Sudan,Kongo.
 
Tz hatuna huo muda wa kupoteza wala hizo gharama hatutaki! Worst enough As long as ishu yenyewe haihusu kuibakisha sisiem madarakani
Wakulaumiwa ni hao,waliompeleka huyo mwanafunzi huko kwenye hatari.Ni sawa sasa kumpeleka mwanafunzi Urusi,Ukraine,Sudan,Kongo,halafu uje uwalaumu watu wengine.Alipopelekwa kusoma,waliwashirikisha hao wanaolaumiwa?
 
Huyu katekwa na watu wa karibu yake.Mtu asiyekujua undani wako,watoka wapi,una uwezo kiasi gani kipesa,au walionyuma yako wanauwezo gani kipesa.Kanisa lijichunguze wenyewe.Wahusika wapo humo humo kanisani.Wanasubiri zilipwe hizo pesa tu.
 
Movie zinawadanganya sana, mnadhani hayo mambo yanafanyagwa tu.
 
Huyu katekwa na watu wa karibu yake.Asiyekujua hawezi kukuteka.Hawa watekaji wanajua huyu,wapo nyuma yake wenye uwezo wa kiasi gani.Kanisa lijichunguze wenyewe.Mara nyingi muhalifu,anayekufanyia uhalifu ni mtu anayekufahamu vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…