Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,037
Hivi nyinyi ccm Ni wazima kweli ? Nyinyi si ndio mlikuwa mnajiapiza kuua upinzani na mkafanya hivyo kwenye uchaguzi .Mkaua watu , mkajeruhi , mkatesa , mnawafunga bambika kesi wapinzani , Leo mmekwama kwenye masharti ya wafadhili mmeanza kuwafuata walewale mliwazuia wasiingie bungeni ? Nyinyi sio wazima Ni wehu kabisaaa kasoro kuvua nguo .Mnatakiwa kupeleka majina 22 ya wabunge wa viti maalum.
Sasa ni kusuka au kunyoa.