Hivi nyinyi ccm Ni wazima kweli ? Nyinyi si ndio mlikuwa mnajiapiza kuua upinzani na mkafanya hivyo kwenye uchaguzi .Mkaua watu , mkajeruhi , mkatesa , mnawafunga bambika kesi wapinzani , Leo mmekwama kwenye masharti ya wafadhili mmeanza kuwafuata walewale mliwazuia wasiingie bungeni ? Nyinyi sio wazima Ni wehu kabisaaa kasoro kuvua nguo .