Kweli mkubwa jamaa ashaanza kupotea,aanze kuwekeza sasa asiwekeze kwenye papuchi maana zinammalizia hela sana!!
Ni kweli,
Masanja Mkandamizaji kwa kugundua mashabiki watamchoka mapema alipokua juu,akajiingiza kwenye biashara, sasa haigizi tena na ana mpunga mrefu tu!!
Mie naomba nikuulize ina maana clouds iliwaambia watu kuwa akipanda diamond muanze kumzomea?Kama ni ushauri labda umshauri aache dharau na apunguze sifa.Nadhani hilo ndo tatizo kubwa kwa huyu kijana na pia mkumbushe asisahau alipotoka
Wote nyie njaa na wivu wa kike unawasumbua mtu asifanikiwe kidogo mnamuona adui stupid
Nani kakwambia masanja haigizi tena?unaishi wapi ww