Ushauri wangu kwa Diamond Platinum kabla ya kuumbuka!

Ushauri wangu kwa Diamond Platinum kabla ya kuumbuka!

Kweli mkubwa jamaa ashaanza kupotea,aanze kuwekeza sasa asiwekeze kwenye papuchi maana zinammalizia hela sana!!

Ni kweli,

Masanja Mkandamizaji kwa kugundua mashabiki watamchoka mapema alipokua juu,akajiingiza kwenye biashara, sasa haigizi tena na ana mpunga mrefu tu!!
 
KIBA hata afaanyaje awezi kuwa mbadala wa DIAMOND,hakuna msanii alieshuka alafu akapanda tena,kila jambo linawakati wake,KIBA wakati umeisha,anabaki kuwa msanii wa kawaida,yupo atakae chukua nafasi ya DIAMOND,ila kwa sasa bado
 
Wote nyie njaa na wivu wa kike unawasumbua mtu asifanikiwe kidogo mnamuona adui stupid
 
Ni kweli,

Masanja Mkandamizaji kwa kugundua mashabiki watamchoka mapema alipokua juu,akajiingiza kwenye biashara, sasa haigizi tena na ana mpunga mrefu tu!!

Nani kakwambia masanja haigizi tena?unaishi wapi ww
 
ushaur mzur sana cz mr nice nw anacheza kamal ya pooltable alaf analiweza uyo.
 
Mie naomba nikuulize ina maana clouds iliwaambia watu kuwa akipanda diamond muanze kumzomea?Kama ni ushauri labda umshauri aache dharau na apunguze sifa.Nadhani hilo ndo tatizo kubwa kwa huyu kijana na pia mkumbushe asisahau alipotoka

Best huo nao ushauri kuntu dharau zime mu cost sana aisee na kauli mashabiki walikua wana muangalia tu hafu aachane na skendo za ku change mademu yeye sijui anaona sifa akina prof J Jd walijiheshimu na watu mpaka leo wana waheshimu sana yeye asikate tamaa wala kumtafta mchawi atulie awekeze kwenye mambo ya muhimu kwa sasa hata business pia kauli za kusena Mbeya hamna hotel ya kukaa na alipotoka still bado ana chance a work hard aache dharau atafka tu
 
Wote nyie njaa na wivu wa kike unawasumbua mtu asifanikiwe kidogo mnamuona adui stupid

Mkuu Msome vzr mtoa mada. ...point yake awe makini na clouds wanauma na kupuliza au ni ndumila kuwili wanaweza kuwa ni sehemu ya kumshusha hapo alipo ss hapo wivu uko wapi?
 
hivi yule mganga wake alisemaje vile.............:A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1:
 
Back
Top Bottom