Ushauri wangu kwa Eric Omondi

Ushauri wangu kwa Eric Omondi

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
919e4cfcb2128c82081a1d1efde4c1b0.jpg
Akiwa anaendelea kufanya vizuri kwenye kipindi chake cha comedy kwenye TV! Ameanza kulewa sifa na kujisahau
Kwa hulka na haiba yake ni mtu wa vituko na vibweka, hili si tatizo kwakuwa ndivyo alivyo ni hulka, ni mtu anayependa kuwa spotlight kwenye kila anachofanya (hili kuna wakati lina madhara yake)
f426550cbbd69a4c79cb238782a36daa.jpg
naamini kabisa kabla hajawa maarufu na kushika hela alikuwa muumini mzuri wa imani yake, pengine mkristo kutokana na jina lake. inawezekana kabisa alipiga goti akisali kuomba mafanikio
Eric huyo wa wakati huo si huyu wa sasa! Wiki hii kapost picha akiwa kaangikwa msalabani kama Kristo Yesu na juu yake akaandika MWIZI ASAMEHEWA
Eric pamoja na kipaji chake lakini anategemea watu ili kazi zake ziweze kuonekana, ni kati ya watu hao kati yao ni wa imani anayoidhihaki
Ukiwa msanii unakuwa na wafuasi wengi, unachotakiwa kufanya ni kuishi Kwa weledi, heshima na busara na makundi yote katika jamii...utafika mbali
Wasanii wengi wameangushwa na ugomvi ulevi bifu, madawa lakini pia dharau kwenye imani za wengine
6c2ead718f138dc354c1d64206756c1b.jpg
Eric anaweza kujitetea Kwa maneno mengi kama alivyosema member mmoja hapa jamvini kuwa kile kitendo hakina uhusiano na ukristo bali ni upagani lakini ajue tayari amewakwaza wengi na hicho kitendo mashabiki wake wasipokipotezea kitamgharimu! Chezea vingine lakini sio imani za watu
 
bbb0a4d59e3de0bb4795d5698da81f43.jpg
 
Ile pale nadhani alimaanisha yule mwizi wa kushoto/kulia aliyesamehewa msalabani na Yesu, lakini kiukwelk siku hizi kaanza kuzingua mf. kuigiza mwanamke kama akina joti, namshuri aendelee tu na stand up comedy Inampa heshima zaidi
 
Ni kweli kabisa.
Kuna mambo anatakiwa akifanya aangalie madhara yake katika jamii mana ndio mashabiki wake.
Huo haipendezi kuidhihaki imani yoyote kwa namna yoyote.
 
Mkuu picha akiwa msalabani ujaiwekaa...

Sio kama natetea ila kwa maoni yangu, iyo aiwezi kua na uhusiano na wale wezi wawili walio sulubishwa?

Nimejaribu kufikiri in a positive way maana kazi ya sanaa ni kubwa na maudhui yanaweza fichwa sema sisi bila kuyafichua tunaweza judge differently
 
Labda comedy zimeisha ndo maana kaanza kurukia vitu vingine.. Me zamani nlikuwa nampenda comedy show zake akiwa ukumbini MFANO Ile ya Zari party.. Toka aanze ku shoot hizi za kuwacopy wengine MFANO Ile ya how to be magufuli au Ile ya how to be a diamond naona pale kapotea.. Hazina mvuto na hii ya JUZI ya kuingia na ishu ya Imani ndo kabugi zaidi
 
Hivi mna habari Yesu ameonekana Nairobi akiwa na Yohana mbatizaji? Na wati wanapiga naye selfie?
 
Mkuu picha akiwa msalabani ujaiwekaa...

Sio kama natetea ila kwa maoni yangu, iyo aiwezi kua na uhusiano na wale wezi wawili walio sulubishwa?

Nimejaribu kufikiri in a positive way maana kazi ya sanaa ni kubwa na maudhui yanaweza fichwa sema sisi bila kuyafichua tunaweza judge differently
Ni mitazamo tofauti ila kwenye ishu ya msalaba alama kuu ni Kristo sio wale wengine
 
Mimi nilikua namshabikia ila alipo toa how tob magufuli hai kunichekesha nikajua labda kateleza tu ikaja how to be dmnd nikajua hakujipanga sasa hii ya kukaa msalabani ndio hajateleza ila amekera kabisa hasa pale alipo weka bango eti mwizi? kha .....
 
Back
Top Bottom