Ushauri wangu kwa Lemutuz

Mimi nimeitoa kwenye page yake ya Insta!amekiri na amesema yuko responsible kama umesoma!itakua unasoma page ya blog yake labda
Weka jina la hiyo account yake ya instagram hapa nikasome mwenyewe?
 
Weka jina la hiyo account yake ya instagram hapa nikasome mwenyewe?
Sifanyi huo ujinga wa kumpa traffic kumbe unabisha wakati haujui hata hiyo account unasumbua Serikali
 

Shetan wa mtu ni mtu mwenyewe
 
We nawe hata siyo fundi, sababu nawe unamaliza na mwanamke ana nguvu ya kuamka!!!!! Mi nilidhani hata nguvu anakuwa hana na inabidi alale kidogo ili kupata nguvu

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Unajitia fundi kumbe hata standards huzifahamu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]fundi na fundikila wanapokutana
 
Namsikitikia kale ka Bint Kake ka hapa U.S.A tuu maana Bint amekuwa na Mzee ndio hivyo wasiokuwa na adabu wanamuaibisha...
 
Lemutuz anavyomtukanaga marehem baba yake mange ni sawa ? Na mange hajawahi tukana wazaz wake kabisa na alisema anawaheshimu mno hatokaa athubutu ,,,sasa fimbo hiii ya lemutu acha imchape vyema yeye mwenyew mana n kosa mno kuchukuliwa video na hata usijue ni nani ktk wanawake zako kakuchukua kwa maana nyingine huy baba ni malaya anawatumia mabint wa watu hovyo kisa umaaarufu wake
 
Huyu baba anatakiwa akue. Ana tabia za kitoto sana na zitamfanya aendelee kudharaulika kila siku
 
Hakuna jambo baya kama kuanika aibu ya mwenzako. Utapa aibu zaidi yake kabla ya kifo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…