Ushauri wangu kwa Lemutuz

Ushauri wangu kwa Lemutuz

Mimi nimeitoa kwenye page yake ya Insta!amekiri na amesema yuko responsible kama umesoma!itakua unasoma page ya blog yake labda
Weka jina la hiyo account yake ya instagram hapa nikasome mwenyewe?
 
Weka jina la hiyo account yake ya instagram hapa nikasome mwenyewe?
Sifanyi huo ujinga wa kumpa traffic kumbe unabisha wakati haujui hata hiyo account unasumbua Serikali
 
Natoa ushauri wangu wa bure kwa Lemutuz aache kabisa kutoka na watoto maana leo kadhalilishwa mpaka tumeona tusivyotakiwa kuona.

Please oa kabisa, sidhani kama angekua mkeo angefanya kitendo hicho. Laana ya zinaa ndo hiyo unabaki kudhalilishwa na wajukuu halafu ndo wamemrushia hasimu wako kipele kikapata mkunaji.

Shetan wa mtu ni mtu mwenyewe
 
husiseme biti tu wanaume tu mengi huwezi jua labda anatumia dawa ya kuspry kabla ya kuanza mchezo inayokuza uume hadi nchi 7. ila uzoefu wangu unanionyesha kila nikitoka kupiga mzingo lazima mwanamke awahi kuvaa na kuaga nisije ongeza round hii hadi anakuwa na nguvu ya kurecord basi inaonyesha alipapaswa tu
We nawe hata siyo fundi, sababu nawe unamaliza na mwanamke ana nguvu ya kuamka!!!!! Mi nilidhani hata nguvu anakuwa hana na inabidi alale kidogo ili kupata nguvu

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Unajitia fundi kumbe hata standards huzifahamu.
 
We nawe hata siyo fundi, sababu nawe unamaliza na mwanamke ana nguvu ya kuamka!!!!! Mi nilidhani hata nguvu anakuwa hana na inabidi alale kidogo ili kupata nguvu

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Unajitia fundi kumbe hata standards huzifahamu.
[emoji23][emoji23][emoji23]fundi na fundikila wanapokutana
 
Namsikitikia kale ka Bint Kake ka hapa U.S.A tuu maana Bint amekuwa na Mzee ndio hivyo wasiokuwa na adabu wanamuaibisha...
 
On the other side,huyu mzee akijiua leo kisa aibu hii,lawama ni ya nani?
Mi sijui.
Ila tujifunze kuwa kumuaibisha mtu kisa umbile asiloweza kubadilisha sio vizuri.Hamna mtu anapenda.
Ila ndo hivyo the world isn't fair.Siasa ndo zilivyo,watu wanauwana na kuaibishana daily.Labda ndo the cost of power.
Majibaba kibao huko Ni malaya ila hawajachukuliwa video akachukuliwa jamaa.Ndo hivyo yani the world isn't fair.Na huwezi kuwa na vyote.Especially when you are stupid.
Kwa hiyo tujifunze.
Lemutuz anavyomtukanaga marehem baba yake mange ni sawa ? Na mange hajawahi tukana wazaz wake kabisa na alisema anawaheshimu mno hatokaa athubutu ,,,sasa fimbo hiii ya lemutu acha imchape vyema yeye mwenyew mana n kosa mno kuchukuliwa video na hata usijue ni nani ktk wanawake zako kakuchukua kwa maana nyingine huy baba ni malaya anawatumia mabint wa watu hovyo kisa umaaarufu wake
 
Huyu baba anatakiwa akue. Ana tabia za kitoto sana na zitamfanya aendelee kudharaulika kila siku
 
Hakuna jambo baya kama kuanika aibu ya mwenzako. Utapa aibu zaidi yake kabla ya kifo
 
Back
Top Bottom