Ushauri wangu kwa Lemutuz

Truth be told! Ukitaka heshima sharti ujiheshimu. Le Mutuz anaishi maisha ambayo hayaendani na caliber yake. Mimi naona ni kama vile anatafuta umaarufu kwa nguvu.

Yes kitendo alichofanyiwa siyo kizuri. Lakini hii michezo tunaiendekeza wenyewe. Kila siku humu wakina dada wanadhalilishwa mpaka tumeshaona kawaida. Ni kawaida mtu kwenda na mpenzi wake kufanya yao kesho unakuta picha kibao mitandaoni. Sijawahi kusikia watu wakitoa povu au wakikemea! Au kwa vile ni wanawake it is expected? Very unfair.

Le mutuz ajitafakari. Ameshakuwa mtu mzima sasa. Mambo mengi anayoyafanya hastahili kabisa. Na atakuja kuaibika zaidi asipoangalia (kama kuna aibu zaid ya hii).

Kama anaweza kukaa chini na kujibizana na Mange Kimambi, akamtukana marehemu mzee wake....I also think he is a fair target too! (Though I don't approve what was done), Lakini nadhani kwa huyu bwana alivyo....hii video imempa publicity na umaarufu kwa gharama ndogo sana. He likes being in the spotlights. Hopefully atabadilika.
 
Hehehehe ezden pia kawahi rekodiwa katoka kuoga lakini haikusinyaa to that extent.
Solution ni kuepuka ugomvi usio na tija social media
 
Kila mtu huvuna alichokipanda, waswahili husema mbwa akikuzoea sana atakufuata mpaka msikitini.. hivo basi hatuwezi kumtetea Lemutuz kwa sababu ni maisha anayoyaishi, kupanga ni kuchagua, amechagua kuishi kama mtoto mdogo, kuishi maisha ya kujidharirisha yeye mwenyewe, na hata yeye mwenyewe amesema asilaumiwe mtu ila alaumiwe yeye kwa kudeti watoto wadogo wasiojielewa..
Mwanaume atakae mtetea Lemutuz ni mwenye mfumo wa maisha kama yake, angekua mtu anaeishi maisha yanayostahili kutetewa ningemtetea..
Mwache apambane na alichokitengeneza
 
baada ya kuitazama hiyo video nimepata jawabu sahihi. hicho kinachoitwa kibamia cha le mutuz kikisimama si chini ya inchi 5. sio kila mwanaume uume umetokeza nje kwa urefu mkubwa pindi haujasimama though kwa watu wanene kama le mutuz ni kawaida uume kujificha kwa ndani kama haujasimama. yote kwa yote size ya uume wake haiathiri chochote katika maisha yake ya kingono issue ni aina ya mahusiano anayoendesha kiasi cha kuweza hata kurekodiwa na hapo ndipo penye tatizo inabidi ajiheshimu. apunguze mwili ule pia sio afya
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] tulipewa taarifa kabisa kuwa ifikapo 00:30 sharp atabonyeza kitufye cha bomu la nyuklia... Gambo naye akakesha aone...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mwenyewe sikuamini kumbe hadi kina nanii nao wanafatilia kimya kimya.... Aibuuuu
 
LIVE STRAIGHT TALK
Ha ha h ha ha ha ha ha.......
You know Mimi ni le akiliz kubwa u know... na kamwe la debezi tupuz hamuwezi kufikia level zangu za ubunifu kupambanaz na wajingaz hasa huyu lechanguz aliyefikiri amenirekodi le utupuz wangu hahahahahahaha,............
You know.....ngoja niwape shule debez tupu mujuwe jinsi nilivyo cheza na akili za majingaz hahahahah..... U know mimi nikiwa US nilisomea degree ya cheating technology ndio maana madebe tupuz kama hawa huwa nawaweza kila leo....maana mimi ni akili kubwaz.......
U know mimi nina towel maalum ambalo nimelishonea kwa mbele betri dogo la National hivyo baada ya kugundua Le Super mtindiz niliyekuwa nae anataka kuwafaidisha watu na kuwaonesha watu lemchamchapiozi wangu basi....nikaamua ku apply degree yangu ya cheating techology....u knw....niliamua kuvaa lile towel lenye betri dogo mbele .....uknw le akiliz ndogo lazima ajue ule ni uume na ni kibamia... hahahahaha kumbe ni betri...........
Uknw thats why i call my self le akili kubwaz the king of all social media hahahaha
Uknow yule super lemutindiz kama angefanikiwa kurekodi lemchapiozi wangu hahahahaha you know ningesumbuliwa sana maana si mchezo......U know napawa pole le akili ndogozi na madebe matupu kwa kuingia mkenge.......

hahahahahahahahahahaha
The King of all social net work.....
 
Word
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] tulipewa taarifa kabisa kuwa ifikapo 00:30 sharp atabonyeza kitufye cha bomu la nyuklia... Gambo naye akakesha aone...
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Chama cha wafuga vitambi na mabonge(CHAWAVIMA) kimeitisha kikao cha kamati kuu baada ya hapo kitakuja na maazimio juu ya udhalilishaji uliofanywa na huyo dada!
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 

Naomba unitumie hiyo video inbox aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…