Masanja
JF-Expert Member
- Aug 1, 2007
- 5,319
- 10,416
Truth be told! Ukitaka heshima sharti ujiheshimu. Le Mutuz anaishi maisha ambayo hayaendani na caliber yake. Mimi naona ni kama vile anatafuta umaarufu kwa nguvu.
Yes kitendo alichofanyiwa siyo kizuri. Lakini hii michezo tunaiendekeza wenyewe. Kila siku humu wakina dada wanadhalilishwa mpaka tumeshaona kawaida. Ni kawaida mtu kwenda na mpenzi wake kufanya yao kesho unakuta picha kibao mitandaoni. Sijawahi kusikia watu wakitoa povu au wakikemea! Au kwa vile ni wanawake it is expected? Very unfair.
Le mutuz ajitafakari. Ameshakuwa mtu mzima sasa. Mambo mengi anayoyafanya hastahili kabisa. Na atakuja kuaibika zaidi asipoangalia (kama kuna aibu zaid ya hii).
Kama anaweza kukaa chini na kujibizana na Mange Kimambi, akamtukana marehemu mzee wake....I also think he is a fair target too! (Though I don't approve what was done), Lakini nadhani kwa huyu bwana alivyo....hii video imempa publicity na umaarufu kwa gharama ndogo sana. He likes being in the spotlights. Hopefully atabadilika.