babu M
JF-Expert Member
- Mar 4, 2010
- 5,222
- 3,173
Ni wapi kakubali? Weka link.Ye kakubali kuwa video n yake[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wapi kakubali? Weka link.Ye kakubali kuwa video n yake[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kweli kutesa kwa zamuMbona na sisi mnatupigaaga picha secretly hatuongei tunatesa kwa zamu
Halipii Papuchi wamemkomoa
Nenda page yake ya Instagram bwana TomasoNi wapi kakubali? Weka link.
Ni wapi kakubali? Weka link.
Mbona kwenye accounts zake za instagram hakuna sehemu aliyo aliyosema ni yeye!Nenda page yake ya Instagram bwana Tomaso
Nimepitia pegi zake za instagram lakini hakuna sehemu yoyote amekubali ni yeye!nenda kwenye page yake ya Insta amekubali kuwa ni video yake.
na imebidi akubali tu kwasababu aliambiwa kuwa akibisha itatolewa video ingine mbaya zaidi ndiyomaana amekubali kuchutama.
Kafanyaje kwaniIla kwanini baadh ya wadada hamuwafichii wanaume wenu siri ..mambo mengine ni ya chumbani tu..sasa unaweza kuona aina ya mwanamke alie date naye siku hiyo halaf unategemea atakuja kuolewa hata Mungu anaona unamuomba kwamba uolewe upate mume lakini nyuma ya pazia umevujisha picha za uchi za mpenzio sasa maombi gani hayo yatafika kwa Mungu?
Huyo mdada itakua ni wale wanaouza nanihi zao
pia na huyu baba kwakweli matokeo ya kujidai kwenye media kupiga picha na wanawake ovyo.ovyo matokeo yake ndo haya angetafuta mzee mwenzake mmoja watulie wale pensheni tu .
Tundolee upuuzi unatuchoshaMbona kwenye accounts zake za instagram hakuna sehemu aliyo aliyosema ni yeye!
Nimepitia pegi zake za instagram lakini hakuna sehemu yoyote amekubali ni yeye!
Sijakusoma!
Mimi nimeitoa kwenye page yake ya Insta!amekiri na amesema yuko responsible kama umesoma!itakua unasoma page ya blog yake labdaSijakusoma!
Hii ndio nini?
Umesema nikasome kwenye page yake lakini nikakuta hakuna kitu kama iko!!
Unajua kusoma lakini huelewi usomacho.Nimepitia pegi zake za instagram lakini hakuna sehemu yoyote amekubali ni yeye!
Tungesema atambaka. Atapoteza tu mda wake. Sasa hapo hata walete vilemtuzi mia mchuboko sipati.Kauanza mwaka kwa style ya kipekee.
Pole yake au hongera yake maana amevuna alichopanda.
Ila huyu dada aliyemrekodi, awe makini. Jamaa anaweza kumfanyia kitu mbaaaya kabisa.
Hasira za nini?Tundolee upuuzi unatuchosha