Ushauri wangu kwa Luhaga Mpina

Misemo ya kijamaa hiyo imepitwa na wakati ondoa ukoko wa kande kichwani kwako wewe serikali ya kenya imekatwa huo mkono Sasa.
 
Ni kweli kabisa.
Kwanza mi ninachojiuliza ni alikubali vipi kutoka bungeni ikiwa hakuwa na hatia?
Yaani ningekiwa mimi hoyo siku wangeita polisi maana nisingekubali kutoka kirahisi. Nchi yote ingesimama kunijadili, sio bunge tu.
 
Ama kweli vijana wengi hawana mwanko wa kisiasa, wengi wao hutumunia makalio yao katika kufikiri . Afadhali ungekaa kimya . Mpina ni shujaa ,sijui kwa nini watu hawajafanya maandamano ya kumpongeza kwa ajasiri wake. Kama Rais ni makini Mwigulu na Bashe wangeachia ngazi . Hivi ndio vitu vya kuwaunga mkono watu majasiri. kwa maandamano sio wakina ,Harmonize wakirejee nchini na tuzo
 
Acha kufundisha wanaume uoga. Sio kila mtu yuko radhi kuwa zombie. Huo mkono wa serekali imekuwaje isijue huo wizi ww tender ya sukari? Au asishandane na serekali ya majizi?
 
Jamaa ni mtu smart sana na sijui kwanini wanaogopa kumpa teuzi
Nadhani sababu ya hicho anachokifanya inaweza kuwa hiyo uliyoitaja au kupata teuzi
Mbinu ya kukosoa serikali iliyozaa matunda ya twuzi ni kwa huyo asimu wake Bashe
Bashe alikuwa kama mpinzani fulani ndani ya ccm akaondolewa makali kwa teuzi
Polepole nae ndiyo hivyo
Huyu bwana nae anapita mulemule ngoja tuone matokeo
Hii ndiyo maana halisi ya mapambano ya maisha siyo kukupambania wewe mtanzania bali maisha yake yuko vizuri kwenye hilo
 
Unadhani hajui....time will tell.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…