Ushauri wangu kwa Luhaga Mpina

Ushauri wangu kwa Luhaga Mpina

Namshauri Mhe. Mpina kwa kuwa Mhimili wa Bunge umechukua hatua dhidi yake kwa uamuzi wa kutokuhudhuria vikao 15 ni vema yeye akakaa kimya na akimaliza adhabu yake yeye atarudi Bungeni na kuendelea na majukumu yake kama Mbunge ndani ya Bunge.

Nashauri asishindane na Serikali. Kuna msemo usemao:- "Serikali ina mkono mrefu".

Pia soma===>>> Mpina kuwapeleka Mahakamani Waziri Bashe na Bodi ya Sukari kwa kutoa idhini ya vibali vya kuagiza sukari kinyume cha Sheria
Misemo ya kijamaa hiyo imepitwa na wakati ondoa ukoko wa kande kichwani kwako wewe serikali ya kenya imekatwa huo mkono Sasa.
 
Namshauri Mhe. Mpina kwa kuwa Mhimili wa Bunge umechukua hatua dhidi yake kwa uamuzi wa kutokuhudhuria vikao 15 ni vema yeye akakaa kimya na akimaliza adhabu yake yeye atarudi Bungeni na kuendelea na majukumu yake kama Mbunge ndani ya Bunge.

Nashauri asishindane na Serikali. Kuna msemo usemao:- "Serikali ina mkono mrefu".

Pia soma===>>> Mpina kuwapeleka Mahakamani Waziri Bashe na Bodi ya Sukari kwa kutoa idhini ya vibali vya kuagiza sukari kinyume cha Sheria
Ni kweli kabisa.
Kwanza mi ninachojiuliza ni alikubali vipi kutoka bungeni ikiwa hakuwa na hatia?
Yaani ningekiwa mimi hoyo siku wangeita polisi maana nisingekubali kutoka kirahisi. Nchi yote ingesimama kunijadili, sio bunge tu.
 
Namshauri Mhe. Mpina kwa kuwa Mhimili wa Bunge umechukua hatua dhidi yake kwa uamuzi wa kutokuhudhuria vikao 15 ni vema yeye akakaa kimya na akimaliza adhabu yake yeye atarudi Bungeni na kuendelea na majukumu yake kama Mbunge ndani ya Bunge.

Nashauri asishindane na Serikali. Kuna msemo usemao:- "Serikali ina mkono mrefu".

Pia soma===>>> Mpina kuwapeleka Mahakamani Waziri Bashe na Bodi ya Sukari kwa kutoa idhini ya vibali vya kuagiza sukari kinyume cha Sheria
Ama kweli vijana wengi hawana mwanko wa kisiasa, wengi wao hutumunia makalio yao katika kufikiri . Afadhali ungekaa kimya . Mpina ni shujaa ,sijui kwa nini watu hawajafanya maandamano ya kumpongeza kwa ajasiri wake. Kama Rais ni makini Mwigulu na Bashe wangeachia ngazi . Hivi ndio vitu vya kuwaunga mkono watu majasiri. kwa maandamano sio wakina ,Harmonize wakirejee nchini na tuzo
 
Namshauri Mhe. Mpina kwa kuwa Mhimili wa Bunge umechukua hatua dhidi yake kwa uamuzi wa kutokuhudhuria vikao 15 ni vema yeye akakaa kimya na akimaliza adhabu yake yeye atarudi Bungeni na kuendelea na majukumu yake kama Mbunge ndani ya Bunge.

Nashauri asishindane na Serikali. Kuna msemo usemao:- "Serikali ina mkono mrefu".

Pia soma===>>> Mpina kuwapeleka Mahakamani Waziri Bashe na Bodi ya Sukari kwa kutoa idhini ya vibali vya kuagiza sukari kinyume cha Sheria
Acha kufundisha wanaume uoga. Sio kila mtu yuko radhi kuwa zombie. Huo mkono wa serekali imekuwaje isijue huo wizi ww tender ya sukari? Au asishandane na serekali ya majizi?
 
Anatafuta sababu ya kufukuzwa chama ili sasa apate public sympathy kama "mkombozi wa watu". Ni strategy nzuri lakini alipaswa apambanie katiba mpya na tume huru ili hata akihama chama awe na uhakika wa kurudi bungeni or better kushinda urais.

Cha ajabu sasa hajaandaa mazingira ya kushindana na Samia akiwa nje ya CCM, yatamkuta kama ya Membe tu. So ushauri ni kwamba angekaa kimya tu adhabu iishe kama alivyofanya Gwajima au zitto. Zaidi angeweza zunguka tu mikoani afanye mikutano mikubwa kueleza kilichotokea, that's all.

Ila wanaomshauri apambane bila malengo wanampoteza tu.
Jamaa ni mtu smart sana na sijui kwanini wanaogopa kumpa teuzi
Nadhani sababu ya hicho anachokifanya inaweza kuwa hiyo uliyoitaja au kupata teuzi
Mbinu ya kukosoa serikali iliyozaa matunda ya twuzi ni kwa huyo asimu wake Bashe
Bashe alikuwa kama mpinzani fulani ndani ya ccm akaondolewa makali kwa teuzi
Polepole nae ndiyo hivyo
Huyu bwana nae anapita mulemule ngoja tuone matokeo
Hii ndiyo maana halisi ya mapambano ya maisha siyo kukupambania wewe mtanzania bali maisha yake yuko vizuri kwenye hilo
 
Namshauri Mhe. Mpina kwa kuwa Mhimili wa Bunge umechukua hatua dhidi yake kwa uamuzi wa kutokuhudhuria vikao 15 ni vema yeye akakaa kimya na akimaliza adhabu yake yeye atarudi Bungeni na kuendelea na majukumu yake kama Mbunge ndani ya Bunge.

Nashauri asishindane na Serikali. Kuna msemo usemao:- "Serikali ina mkono mrefu".

Pia soma===>>> Mpina kuwapeleka Mahakamani Waziri Bashe na Bodi ya Sukari kwa kutoa idhini ya vibali vya kuagiza sukari kinyume cha Sheria
Unadhani hajui....time will tell.....
 
Back
Top Bottom