Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Unsung heroR.I.P Rev. Mtikila.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unsung heroR.I.P Rev. Mtikila.
Misemo ya kijamaa hiyo imepitwa na wakati ondoa ukoko wa kande kichwani kwako wewe serikali ya kenya imekatwa huo mkono Sasa.Namshauri Mhe. Mpina kwa kuwa Mhimili wa Bunge umechukua hatua dhidi yake kwa uamuzi wa kutokuhudhuria vikao 15 ni vema yeye akakaa kimya na akimaliza adhabu yake yeye atarudi Bungeni na kuendelea na majukumu yake kama Mbunge ndani ya Bunge.
Nashauri asishindane na Serikali. Kuna msemo usemao:- "Serikali ina mkono mrefu".
Pia soma===>>> Mpina kuwapeleka Mahakamani Waziri Bashe na Bodi ya Sukari kwa kutoa idhini ya vibali vya kuagiza sukari kinyume cha Sheria
Ni kweli kabisa.Namshauri Mhe. Mpina kwa kuwa Mhimili wa Bunge umechukua hatua dhidi yake kwa uamuzi wa kutokuhudhuria vikao 15 ni vema yeye akakaa kimya na akimaliza adhabu yake yeye atarudi Bungeni na kuendelea na majukumu yake kama Mbunge ndani ya Bunge.
Nashauri asishindane na Serikali. Kuna msemo usemao:- "Serikali ina mkono mrefu".
Pia soma===>>> Mpina kuwapeleka Mahakamani Waziri Bashe na Bodi ya Sukari kwa kutoa idhini ya vibali vya kuagiza sukari kinyume cha Sheria
Ama kweli vijana wengi hawana mwanko wa kisiasa, wengi wao hutumunia makalio yao katika kufikiri . Afadhali ungekaa kimya . Mpina ni shujaa ,sijui kwa nini watu hawajafanya maandamano ya kumpongeza kwa ajasiri wake. Kama Rais ni makini Mwigulu na Bashe wangeachia ngazi . Hivi ndio vitu vya kuwaunga mkono watu majasiri. kwa maandamano sio wakina ,Harmonize wakirejee nchini na tuzoNamshauri Mhe. Mpina kwa kuwa Mhimili wa Bunge umechukua hatua dhidi yake kwa uamuzi wa kutokuhudhuria vikao 15 ni vema yeye akakaa kimya na akimaliza adhabu yake yeye atarudi Bungeni na kuendelea na majukumu yake kama Mbunge ndani ya Bunge.
Nashauri asishindane na Serikali. Kuna msemo usemao:- "Serikali ina mkono mrefu".
Pia soma===>>> Mpina kuwapeleka Mahakamani Waziri Bashe na Bodi ya Sukari kwa kutoa idhini ya vibali vya kuagiza sukari kinyume cha Sheria
Acha kufundisha wanaume uoga. Sio kila mtu yuko radhi kuwa zombie. Huo mkono wa serekali imekuwaje isijue huo wizi ww tender ya sukari? Au asishandane na serekali ya majizi?Namshauri Mhe. Mpina kwa kuwa Mhimili wa Bunge umechukua hatua dhidi yake kwa uamuzi wa kutokuhudhuria vikao 15 ni vema yeye akakaa kimya na akimaliza adhabu yake yeye atarudi Bungeni na kuendelea na majukumu yake kama Mbunge ndani ya Bunge.
Nashauri asishindane na Serikali. Kuna msemo usemao:- "Serikali ina mkono mrefu".
Pia soma===>>> Mpina kuwapeleka Mahakamani Waziri Bashe na Bodi ya Sukari kwa kutoa idhini ya vibali vya kuagiza sukari kinyume cha Sheria
Jamaa ni mtu smart sana na sijui kwanini wanaogopa kumpa teuziAnatafuta sababu ya kufukuzwa chama ili sasa apate public sympathy kama "mkombozi wa watu". Ni strategy nzuri lakini alipaswa apambanie katiba mpya na tume huru ili hata akihama chama awe na uhakika wa kurudi bungeni or better kushinda urais.
Cha ajabu sasa hajaandaa mazingira ya kushindana na Samia akiwa nje ya CCM, yatamkuta kama ya Membe tu. So ushauri ni kwamba angekaa kimya tu adhabu iishe kama alivyofanya Gwajima au zitto. Zaidi angeweza zunguka tu mikoani afanye mikutano mikubwa kueleza kilichotokea, that's all.
Ila wanaomshauri apambane bila malengo wanampoteza tu.
Unadhani hajui....time will tell.....Namshauri Mhe. Mpina kwa kuwa Mhimili wa Bunge umechukua hatua dhidi yake kwa uamuzi wa kutokuhudhuria vikao 15 ni vema yeye akakaa kimya na akimaliza adhabu yake yeye atarudi Bungeni na kuendelea na majukumu yake kama Mbunge ndani ya Bunge.