Ushauri wangu kwa TFF: Sababu 7 za Taifa Stars Kushindwa Vibaya

sanshinda

Member
Joined
Sep 25, 2017
Posts
79
Reaction score
33
1. UTEUZI WA WACHEZAJI
Haukuzingatia uhalisia kwa kuwa wachezaji waliofanya vizuri kwenye ligi ya ndani hawakujumuishwa, mfano Mkude kwenye kiungo cha kukaba, Ajibu kwenye pasi za mwisho alipngoza Tanzania nzima kwenye eneo hilo, Ayee kwenye kufunga na wengineo.
2. BODI YA LIGI
Kutokuwepo kwa bodi ya ligi inayoaminika kumechangia sana kubadilisha ratiba ya ligi mara kwa mara kwa misingi ya utashi au kutokuwa na weledi, hali hiyo imesababisha kuwepo kwa msimamo wa ligi usiokuwa na uhalisia ma pia kuwafanya wachezaji kutokuwa na utimamu wa mwili endelevu
3.LIGI KUKOSA WADHAMINI
Hii imesababisha kutokuwepo mazingira sawa miongoni mwa washindani ambao ni vilabu, matokeo yake msimamo wa ligi hauakisi hali halisi ya ubora wa timu
4.WAAMUZI WA LIGI KUU
Kumeonekana wazi baadhi ya waamuzi kuzibeba baadhi ya timu na kuziangamiza baadhi ya timu huku bodi ya ligi ikifumba macho na masikio ya wadau wake wakuu wanapolalamika na kujikita zaidi kwenye kupangua ratiba bila ulazima na bila kuangalia athari za kiuchumi na kisaikolojia kwa timu.
5. WAANDISHI WA HABARI
Waandishi walitumia kalamu zao kuipamba Taifa stars kwa sifa ambazo hawana au tuseme hawajafikia.
6. UONGOZI WA TIMU YA TAIFA
Uongozi huu uwe na mchanganyiko ambao unabeba taswira ya Taifa badala ya uliopo sasa ambao unaonesha taswira ya wasanii na viongozi wachache tena waliopo Dar es salaam
7.SULUHISHO
Kwa maoni yangu ni vyema TFF ikaweka nguvu kubwa kwa vijana U23, U20, U17, na kurejeshwa kwa mashindano ya mikoa ambako kutaleta hamasa kubwa na kupata wachezaji wenye vipaji kwa njia rahisi mno n.k huku serikali nayo ikiimarisha mashindano ya shule za msingi na sekondari.
 
Wachezaji hawana quality. .hata aje Guardiola tutapigwa tu..angalia Guinea wana timu Horoya FC lakini hakuna hata mchezaji mmoja aliyeitwa timu Yao ya Taifa..sisi tunapigania AFCON champions League. .wenzetu wanapeleka wachezaji Ulaya
 
Kwanza nikukosoe kwenye uteuzi Wa timu. Naamini uwepo Wa Ajib na Mkude usingesaidia chochote mana hata wachezaji tunaowaaminia kama Bocco,erasto,shabalala,Hassan kessy, Mudathir, n.k wote wameonakana vituko tu huko Misri.

Hujui kufanya hitimisho,nilitegemea kwenye hitimisho lako ungegusia kila changamoto uloiweka kisha ndo uongezee na hyo strong point ya mwisho uloiweka. Kwa jinsi ulivyohitimisha ni kwamba ulicholalamikia ni kingine na suluhu umetolea kwa jambo lingine lisilokuwepo kwenye malalamiko yako
 
1. UTEUZI WA WACHEZAJI
Haukuzingatia uhalisia kwa kuwa wachezaji waliofanya vizuri kwenye ligi ya ndani hawakujumuishwa, mfano Mkude kwenye kiungo cha kukaba, Ajibu kwenye pasi za mwisho alipngoza Tanzania nzima kwenye eneo hilo, Ayee kwenye kufunga na wengineo.
2. BODI YA LIGI
Kutokuwepo kwa bodi ya ligi inayoaminika kumechangia sana kubadilisha ratiba ya ligi mara kwa mara kwa misingi ya utashi au kutokuwa na weledi, hali hiyo imesababisha kuwepo kwa msimamo wa ligi usiokuwa na uhalisia ma pia kuwafanya wachezaji kutokuwa na utimamu wa mwili endelevu
3.LIGI KUKOSA WADHAMINI
Hii imesababisha kutokuwepo mazingira sawa miongoni mwa washindani ambao ni vilabu, matokeo yake msimamo wa ligi hauakisi hali halisi ya ubora wa timu
4.WAAMUZI WA LIGI KUU
Kumeonekana wazi baadhi ya waamuzi kuzibeba baadhi ya timu na kuziangamiza baadhi ya timu huku bodi ya ligi ikifumba macho na masikio ya wadau wake wakuu wanapolalamika na kujikita zaidi kwenye kupangua ratiba bila ulazima na bila kuangalia athari za kiuchumi na kisaikolojia kwa timu.
5. WAANDISHI WA HABARI
Waandishi walitumia kalamu zao kuipamba Taifa stars kwa sifa ambazo hawana au tuseme hawajafikia.
6. UONGOZI WA TIMU YA TAIFA
Uongozi huu uwe na mchanganyiko ambao unabeba taswira ya Taifa badala ya uliopo sasa ambao unaonesha taswira ya wasanii na viongozi wachache tena waliopo Dar es salaam
7.SULUHISHO
Kwa maoni yangu ni vyema TFF ikaweka nguvu kubwa kwa vijana U23, U20, U17, na kurejeshwa kwa mashindano ya mikoa ambako kutaleta hamasa kubwa na kupata wachezaji wenye vipaji kwa njia rahisi mno n.k huku serikali nayo ikiimarisha mashindano ya shule za msingi na sekondari.
baada ya Bashite kukihusisha chama chetu na ile timu, mizimu ya Akwilina, Mawazo, nk imelipuka.
nao Saanane & Azory huko walikofichwa wananena kwa lugha.
bila kusahau laana za T Lissu.

hii ndiyo sababu kubwa!
 
1. UTEUZI WA WACHEZAJI
Haukuzingatia uhalisia kwa kuwa wachezaji waliofanya vizuri kwenye ligi ya ndani hawakujumuishwa, mfano Mkude kwenye kiungo cha kukaba, Ajibu kwenye pasi za mwisho alipngoza Tanzania nzima kwenye eneo hilo, Ayee kwenye kufunga na wengineo.
2. BODI YA LIGI
Kutokuwepo kwa bodi ya ligi inayoaminika kumechangia sana kubadilisha ratiba ya ligi mara kwa mara kwa misingi ya utashi au kutokuwa na weledi, hali hiyo imesababisha kuwepo kwa msimamo wa ligi usiokuwa na uhalisia ma pia kuwafanya wachezaji kutokuwa na utimamu wa mwili endelevu
3.LIGI KUKOSA WADHAMINI
Hii imesababisha kutokuwepo mazingira sawa miongoni mwa washindani ambao ni vilabu, matokeo yake msimamo wa ligi hauakisi hali halisi ya ubora wa timu
4.WAAMUZI WA LIGI KUU
Kumeonekana wazi baadhi ya waamuzi kuzibeba baadhi ya timu na kuziangamiza baadhi ya timu huku bodi ya ligi ikifumba macho na masikio ya wadau wake wakuu wanapolalamika na kujikita zaidi kwenye kupangua ratiba bila ulazima na bila kuangalia athari za kiuchumi na kisaikolojia kwa timu.
5. WAANDISHI WA HABARI
Waandishi walitumia kalamu zao kuipamba Taifa stars kwa sifa ambazo hawana au tuseme hawajafikia.
6. UONGOZI WA TIMU YA TAIFA
Uongozi huu uwe na mchanganyiko ambao unabeba taswira ya Taifa badala ya uliopo sasa ambao unaonesha taswira ya wasanii na viongozi wachache tena waliopo Dar es salaam
7.SULUHISHO
Kwa maoni yangu ni vyema TFF ikaweka nguvu kubwa kwa vijana U23, U20, U17, na kurejeshwa kwa mashindano ya mikoa ambako kutaleta hamasa kubwa na kupata wachezaji wenye vipaji kwa njia rahisi mno n.k huku serikali nayo ikiimarisha mashindano ya shule za msingi na sekondari.
8. Kuingiza politike.
 
Tanzania hamna vipaji, period. Hayo mengine ni porojo tu. Hao tunaowaona wanafaa, ubora wao ni wa hapa hapa.
Our players lack nature talent.
 
Vipaji vipo sana mkuu Sema tunashindwa kuwapolish wachezaji tokea wapo chekechea.
Namaanisha tujitoe kwenye mashindano yote na kutelekeza nguvu katika kuwatraining tokea wana miaka 5-7 wafunzwe kila kitu pamoja na nidhamu ya mpira na kuhakikishia baada ya miaka 10 tutakuwa na kikosi kilichowiva Cha U17 then uko mbele itapatikana timu ya wakubwa ya kuwatunishia msuli Kina Algeria
 
Back
Top Bottom