Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,380
- 1,686
Awali ya yote niwape salamu mbiu Tabuleleeee (itikia Laaaaaa).
Hii ni baada ya matokeo ya jana tarehe 5-11-2023, 1-5. Mashabiki wenzangu wa Simba naomba tuwe wavumilivu katika kipindi hiki kigumu cha maombolezo.
Hili ni pito ambalo hata Yanga alipitia kwa miaka mi4 mfululizo. Turudi kwenye matawi yetu tujue nini cha kufanya kwa msimu mpya wa 2024-2025.
Rai yangu kwa uongozi wetu wa klabu; nitakao wataja hapa ni wazee, sasa tupambane kutafuta damu changa;
Shomi, Shaba, Bocco, Mzami, Ntibazo, Chaba, NA Miqu.
Punguzeni hao jamaa, hata kama sio wote basi hata nusu ya hao tajwa hapo juu na pia kama tunataka kwenda kufanya vyema kwenye michezo yetu ya CAF Champions League basi hatuna budi kuachana na Betino haraka iwezekanavyo ili aje Kocha mpya kutengeneza combination na na wachezaji wetu. Niishie hapa.
Tabuleleeeeee..!