Ushauri wangu kwa vijana wa CHADEMA mlioingia kwenye siasa hivi karibuni kimihemko

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Natoa ushauri kwenu kwa nia nzuri tu, mkitaka chukueni msipotaka endeleeni na harakati zenu, mimi nimeanza kufuatilia siasa za nchi hii wakati nikiwa form 2 mwaka 1992, enzi hizo ndio kumepamba moto siasa za vyama vingi yaani democratization process.

Hali ilikuwa moto kipindi kile, chama chenye nguvu wakati ule kikiwa na wasomi wa kutosha NCCR Mageuzi kilikuwa moto kweli kweli.Enzi hizo akina Prince Bagenda ndio walikuwa wanaharakati haswa, sio hawa akina Mnyika watoto wa juzi tu.

NCCR Mageuzi ile ya akina Mabere Nyaucho Marando, Dr.Ringo Tenga, Dr.Sengondo Mvungi na wasomi kibao wakamkaribisha marehemu Augustine Mrema, siasa zilikuwa moto na wengi walitegemea Mrema kumwangusha mgombea urais wa CCM wakati ule hayati Benjamin Mkapa.Hata hivyo haikuwa hivyo.

CUF kule Zanzibar ndio on fire kweli kweli, Maalim Seif (Marehemu) naye alikuwa na influence kubwa, wazanzbar kule wakawa hawaelewi hawasikii, wao ni Maalim na Maalim na wao, bahati mbaya hadi Maalim anatangulia mbele ya haki hakufanikiwa kwenda Ikulu.

Vurugu zilikuwa kubwa sana visiwani, kila mtu anajua yaliyotokea kule hadi kukatokea muafaka mara kadhaa.

Huku Bara Prof.Lipumba naye alikuwa moto.Naye amekumbana na misukosuko mno pengine kuliko mwanasiasa yoyote yule wa upinzani.Nyie mnasema Mbowe na Lissu wameteswa mnapotosha, Lipumba ameteswa kuliko mwanasiasa yoyote yule wa upinzani, Lipumba amepigwa tanganyika jeki na Polisi pale Mbagala akatupwa ndani ya difenda na usomi wake wote, Lipumba anakanyagwa na Polisi ndani ya difenda, Lipumba amevunjwa mkono na Polisi, Lipumba amekaa mahabusu mara kadhaa akitetea CUF.

Mbowe hakuna msukosuko wowote alioupata zaidi ya kufunguliwa kesi, Mbowe hata kidonda cha polisi hana.

Lissu ukiondoa harakati zake wakati wa Mkapa akiwa mwanasheria hakuna matesi aliyopata zaidi ya tukio lile kubwa la kupigwa risasi ambalo lilitaka kuondoa uhai wake.

Hivyo, kuna watu wamepambana na Serikali lakini wameshindwa.Watu wameumizwa jamani kwa kutaka kuvuruga amani ya nchi, wengine hata walipo leo hatujui, wengine hawataki kabisa kusikia habari za siasa.

Maandamano yalikuwa ndio mchezo miaka ile ya vuguvugu la siasa, wengi wamepata ulemavu, wengine hadi leo tunaishi nao kutokana na harakati zao za kifala kifala, we unasema unataka kuikomboa nchi, nchi gani unayotaka kuikomboa wewe mjinga tu.

Sasa kuna vijana wa Chadema wanajifanya wao wanataka kuiga mambo ya Kenya wayaingize Tanzania, hivi majuzi nimewaona kwenye social media wakiandaa maandamano ya kijinga kabisa, mwingine anajiita Twaha Mwaipaya amekuwa akitoa kauli kuwa wako tayari kwa mapambano, amekuwa akienda hadi viwanjani akitangaza mikutano ya chadema kwenye viwanja vya mpira, anasema hadharani kuwa wako tayari kuingia vitani kukomboa nchi.

Amekuwa akionekana kwenye vipindi mbalimbali vya ITV akihamasisha mambo ya kijinga tu, mfano amekuwa akidai safari hii watadili na watendaji, akisema watendaji tunaishi nao, askari tunaishi nao, sasa hivi tusilalamike, tupambane nao bila hofu, anadiriki kusema askari nchi hii hawatoshi hivyo wana uwezo mkubwa wa kukabiliana nao, ameonekana kwenye mikutano mbalimbali ya kidemokrasia akitoa michango ya kuhamasisha wananchi wapambane na serikali.

Serikali inampuuza kwa sababu inamuona ndio kwanza anachipukia, wala haina sababu ya kumshughulikia, kuna Mdude Nyagali na mwenzake Martin nani sijui kwenye X, yaani wamekuwa wakitafuta umaarufu kupitia Four R za Mhe.Rais.

Mimi natoa ushauri, kwa sababu nimeshuhudia enzi zile CUF ni chama hasa, enzi hizo mm pia nilikuwa naunga mkono CUF wakati Lipumba anatokea Uingereza kuja kushirikiana na Maalim Seif, ushauri wangu vijana wa Chadema mtafuteni Prince Bagenda awaambie historia na harakati mnazozifanya kama mnaweza kufanikiwa ama mnatafuta matatizo tu.

Serikali ni lidude likubwa sana, ni lidude lenye nguvu, leo Kagame kapiga marufuku misikiti na makanisa mnaona hakuna aliyeleta fyoko fyoko, Magufuli alikuwa akipiga marufuku wote mliufyata, je mnataka Rais Samia aturudishe kule mlikotoka?

Mnadhani mnapoharibu amani ya nchi vijana wake watakaa kimya kuwaangalia tu, yeye anapambana kujenga uchumi wa nchi nyie mnapambana kuhujumu uchumi, je mnadhani vyombo vya usalama vitakuwa tayari kuwavumilia.

Hivi mnaposema mko tayari kwa mapambano, mnataka kupambana na nani? Yaani Malisa, Boniface, Martine, Mwaipaya mpambane na Serikali? Mbona mnaleta vituko nyie washkaji.

Acheni hizo jamani, sisi tunaopenda kutumia haki yetu ya kikatiba kutoa maoni tunawashauri jengeni hoja kwa wananchi wawaelewe, msikubali kutumika kisiasa.Kuhamasisha vijana wenzenu wapambane na serikali mtaumiza vijana wenu kwa sababu nna uhakika nyie hamtakuwepo, mtakuwa mmejificha wakati wenzenu wanakumbana na mkono wa sheria.

Mwisho, jibuni hoja za Msigwa, kuna ubadhirifu mkubwa ndani ya chama chenu, na nyie mnasema ni waadilifu, uadilifu upi mliokuwa nao?
 
Jamani tuwe makini sana na vitu kama hivi,unaweza kujikuta unaingia kwenye matatizo bila kupenda na ndio shida ya watanzania wengi na inatuponza sana unakuta mtu yupo seriously kabisa anasoma comment yangu badala andike ya kwake 😅
 
Huu mwaka wa ngapi mnatabiri CDM inakufa na haifi? Mjitafakari au mkaangalie vizuri mizimu yenu huwezi kupata mabadiliko mnayotaka kwenye sahani hawa sisiemu sio wajinga wakukubalie matakwa ambayo wana uhakika yatawatoa kwenye mamlaka ile hali wanajua kabisa majority ya watu wao hawapaswi kua uraiani wengi aalitakiwa wawe wanatumikia vifungo huko magerezani kwa kuhujumu taifa na rasilimali zetu
 
Wewe una mawazo ya kijima kaa na ujima wako kama unanufaika na mfumo uliopo wacha watu wanaotaka mabadiliko wafanye yao. Wewe umesharidhika kaa kimya.
 
And you Think you are safe?

My friend inaonekana uko upande wao.

Hiyo amani imevunjika wapi na nani kaivunja?
 
Wewe ni Kizazi cha Millennium ( Dunia Kijiji) huwezi kuwapangia Kizazi cha Gen Z ( Dunia Kiganjani)

Unapoteza Muda wako bure 😂😂
Kwa uwezo wa tafakari wa mleta uzi hata Mandela na Nyerere wasingewahi kujulikana.Ajifunze kuhusu kitongoji/mji wa SOWETO na vijana wake kihistoria.
 
Kama hajasoma Kitabu cha Mambo ya Nyakati kwenye Bible lazima uachwe nyuma

Analinganisha Millennium na Gen Z hajui kuwa hao Gen Z wanaelekea kuachwa na Gen Alpha siku si nyingi 😂😂😂
 
2025-2030 ni wakati ambao kizazi cha generation Z kinatamba sana . Alpha wakati wao bado .
 
Back
Top Bottom