Ushauri wangu kwa vijana wa CHADEMA mlioingia kwenye siasa hivi karibuni kimihemko

Kufa kila mtu atakufa, hakuna chakupoteza lazima tuwe sawa wote. Haiwezekani wengine tufuate sheria, afu wengine wavunje sheria na hakuna hatua yoyote inayochukuliwa kisa wako kwenye mfumo. Mtatuua, mtatuteka, mtatutesa ila kitaeleweka tu.
 
Kwamba kila wakati serekali itaendelea kukandamiza wananchi, hao wananchi hawatakaa waamke ama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…