Ushauri wangu kwa viongozi wa Simba kuhusu wachezaji wetu vinginevyo tumekwisha

Wewe na ushirikina wako sijui utastaarabika lini.
 
Unadhani aliyeleta hiyo Kwaliti ni Mangungu?
Kwahiyo tunakubaliana kwamba ni quality ya wachezaji ndiyo inaibeba Yanga bila kujali Rais angekuwa nani.

Ukitaka kujua timu kufanya vizuri cha kwanza kabisa ni quality ya wachezaji halafu vingine vinafuatia.

Leo hii Gamond anasifiwa ni kocha bora ni kwasababu anabebwa na quality ya wachezaji. Ukitaka kuamini kocha sio kigezo cha timu kufanya vizuri jaribu kumpeleka Gamond Namungo uone kama atakuwa na maajabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…