Yaani hapo lisu hajatua airport Lumumba kushawaka moto, Mara oh segerea Mara tutampiga risasi Mara court order, hv mnadhani hivyo ndio vya kumtisha Tundu lisu,
Subirini atue aje awapige misumari, mtasahau habari za bomba dia, stigila goji, treni za mwendo kasi na upuuzi mwingine kama huo.
Hv mnadhani watu wanataka hivyo tu, watu wanataka amani na Uhuru, ss kwa taarifa yenu Libya vilikuwepo zaidi ya hivyo hadi watu kupewa mishahara ya bure,lkn demokrasia ilivyominywa kama inavyofanyika ndani ya ccm, gadafi aliokotwa mtaroni akiwa mfu, na uchi wa mnyama.
So msijisahau na miradi, Uhuru ni muhimu zaidi.