Ushauri wangu kwa Wakuu wapya wa Wilaya

CCM ina wenyewe, uchawa hauna maslahi 🤣🤣🤣🤣halafu wao wanachaguana wao kwa wao. Endelea kusifu kwa mapambio.
 
CCM ina wenyewe, uchawa hauna maslahi 🤣🤣🤣🤣halafu wao wanachaguana wao kwa wao. Endelea kusifu kwa mapambio.
Nitaendelea kuyaandika mazuri yote ifanyavyo serikali ya Rais Samia katika kuwatumikia watanzania
 
Pia, mkuu wa wilaya awe na taarifa zote za miradi ya maendeleo katika viganja vyake, na fedha zilizoingia katika wilaya yake.

Ili kumsaidia kiutawala, asikae ofisini, ajiwekee ratiba kila muda fulani aende akaangalie mradi fulani.
 
Hakika umenena hoja ya nguvu Sana mkuu
 
Namba za simu za nini sasa? Kama ni maoni na ushauri si uwe unatoa bila kuweka namba za simu, Unajificha kwenye kichaka cha ushauri na maoni kumbe una target zako za kujipendekeza upate ulaji na bado wameendelea kukufungia vioo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…