Ushauri wangu kwa wana ndoa wenzangu

Ushauri mzuri sana
 
Mkuu, fanyia kazi matumizi ya L na R, uzi wako unakinaisha.
 
Kila wakati ni lazima kulinganisha athali za kulazimisha suluhu, na athali za talaka. Athali za talaka straight forward zinajulikana na zitahusisha wengi moja kwa moja. Lakini athali za kulazimisha suluhu, mara nyingi humuathili mmoja (kwa uwazi) na wengine athali watakazozipata kutokana na suluhu hiyo zinaweza zisionekane au zisiwepo kabisa
 
Kabisa....wanaweza kulazimisha suluhu kumbe mmja wenu bado Ana kinyongo,hafurahi
Kikubwa ni kupiga chini,kila mtu afanye maisha yake
Na uushinde moyo kubali yaishe

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…