Ushauri wangu kwa wanaotaka kununua hisa za CRDB: Case study of IT Outage

didy muhenga

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2022
Posts
2,104
Reaction score
3,594
Leo bei ya hisa moja CRDB ni shilingi 1150 ni muendelezo wa kuporomoka kwa bei za hisa za CRDB kutoka 1900. Najua kuna watu wanajiuliza au wanategemea ishuke zaidi au wanataka kununua saivi wkitarajia pandisho la bei kwa hisa hivyo market cap yao kuongezeka individually.

Sasa swali linakuja, Unamshauri vipi mtu anayetaka kufanya hivyo? Na majibu yangu ni kama ifuatavyo;

Inategemea na siwezi kulisema hili, nikajimaliza. Iko hivi, inawezekana zikashuka sana alafu zikapanda au zikashuka na zikazidi kushuka zaidi bila magawio.

Issue ni moja, hii IT outage inaweza isiweze rekebishwa na ikawa imesababisha hasara sana hivyo hata baada ya mifumo kutengamaaa (hisa zikapanda) lkn inaweza isiwe kwa muda mrefu kutokana na ukweli kwamba CRDB wanaweza wakatangaza kulipa watu fidia hivyo hisa zitafanya vibaya sana na magawio yasiwepo kutokana na ulipwaji wa fidia.

Mwisho, sio nyepesi tu kama tunavyosema ikishuka unanunua japo inabidi kuelewa na risks associated with na kuchukua maamuzi thabiti. Careful analysis is inevitable na pia something like gambling is inevitable too.

Nawaacha na hii nasikia tetesi kua kabla mwaka kuisha kuna kampuni mbili zitalist kweny primary market (IPO) hivyo wale risk takers kazi kwenu ila msisahau kufanya analysis kwa kina yasije yakatokea kama ya JATU🤣🤣🤣 (poleni ntakao nimewaumiza kidogo).
Ambrose Koller HivikunaDaladalaShangani

Saidia fundi.
 
Namsubiri amshapopo atoe tamko
 
Inategemea na siwezi kulisema hili, nikajimaliza. Iko hivi, inawezekana zikashuka sana alafu zikapanda au zikashuka na zikazidi kushuka zaidi bila magawio.
Talking about Speaking the Obvious; Kwa lugha ya picha ni kama mtu anasema mpira unaweza timu A au B ikashinda au ikawa Draw
 
Back
Top Bottom