Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Hiyo CCM anayepingwa hali?Mwanasiasa gani wa kweli na kila mmoja anampinga ccm ili apate yeye nafasi ya kula!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo CCM anayepingwa hali?Mwanasiasa gani wa kweli na kila mmoja anampinga ccm ili apate yeye nafasi ya kula!
Wewe baada ya muda utabadilisha hii ID na kuja na ID nyingine!
Tatizo mnazivamia siasa za Tanzania!
mnaleta Schoolboy politics!
Inasikitisha sana kwa kweli. Ila hata ivyo hili halitakiwi kuwarudisha nyuma na kuwakatisha tamaa watu wachache wanaoamini kwenye mabadiliko chanya yanayotokana na itikadi bora. Ni wakati mzuri wa kujipanga vizuri sasa na kuweka mikakati Bora zaidi ya kuipatia nchi yetu siasa bora zaidi zenye watu genuine ambao hawaongozwi na tamaa binafsi.Bahati mbaya ikiwa asubuhi kila mtu ana msimamo, mchana wanapungua na ikifika jioni wengi unagundua maamuzi yao yalikuwa siyo yenye faida na kumsaidia mwananchi bali kila mtu anaangalia familia yake itaishije.
👉 HAKUNA SIASA HAPA AFRIKA.
Uko sahihi kabisa ndugu. CCM hawalali na kila siku wamekuwa wakipanga ni kwa namna gani watabadili msimamo wa jumuiya ya kimataifa juu ya Tanzania. Strategy yao ya kwanza ndo hii, kuwarubuni wanasiasa njaa ambao hawako kwenye vyama ka sababu ya itikadi zinazolenga kumkomboa mtanzania bali wako kwenye vyama kwa sababu ya maslahi yao binafsi.CCM wanatumia kila njia kuwatongoza ACT na CHADEMA ili waingie kwenye serikali na ubunge, kwa kinachoendelea bado kwa upande wa Zanzibar hali imekuwa ngumu zaidi na zaidi kila kunapokucha haswa kunapotokea vifo vinavyoendelea vya wahanga wa ulioitwa uchaguzi Mkuu...
Wana siasa wengi wa Africa wanatuchukulia wananchi kama mazombi, watu wasiojielewa na wa kupelekeshwa tu. Ni muhimu kwa Tanzania kutengeneza kizazi thabiti cha kujihusisha na siasa, kizazi ambacho hakitaendeshwa na maslahi binafsi bali maslahi mapana ya wananchi wote. Kizazi ambacho kitajikita kwenye kunadi itikadi na kuielezea kwa wananchi Kama itikadi bora ya kutengeneza sera za kuwaletea maisha mazuri na yenye maana duniani.Unajua wanasiasa wa Africa wanafanya wanachama kama macartoons vile si ajabu hawa kwenye vikao vyao vya siri wanakubaliana lakini kwenye hadhara wamejipanga huyu sema hivi ,wewe sema hivi ,yule sema hivi . Kwa asili ya wenye chama cha chadema wapo kwa ajili ya FWEZA kile chama ni kama mradi
Natumai watausoma na kuufanyia kazi Kama na wao sio sehemu ya udhalimu huu na ufisadi huuMbowe na mnyika wauone huu uzi kwenye jalada!
Na huu ndo upuuzi tunaotakiwa tuusitishe na kuuondoa kabisa kuanzia sasa!Tuache uongo kwa nchi za Afrika hasa Tanzania siasa ni ajira kama zilivyo ajira nyingine.
Tatizo lipo kubwa na hasa tunapozungumzia mikakati, kuna watu wanawekwa tayari ili kutofanikisha haya mambo.Inasikitisha sana kwa kweli. Ila hata ivyo hili halitakiwi kuwarudisha nyuma na kuwakatisha tamaa watu wachache wanaoamini kwenye mabadiliko chanya yanayotokana na itikadi bora. Ni wakati mzuri wa kujipanga vizuri sasa na kuweka mikakati Bora zaidi ya kuipatia nchi yetu siasa bora zaidi zenye watu genuine ambao hawaongozwi na tamaa binafsi.
Lord denning
Mkuu your driving wrong side of the road.
Yaonekana uwajui vizuri wananchi wa Tanzania.
Umewahi kujiuliza kwanini walipoambiwa na Chadema watu waingie barabarani lakini wakapuuza tena kwa furaha?
Je umejiuliza kwanini mpambanaji kamanda mkuu wa Bawacha Halima Mdee na wenzake wameapa mbele ya Spika Ndugai?
Au umesahau kuwa vipaumbele vya Watanzania sio lazima viwe sawa na vipaumbele vya Ulaya?
Mkuu jiongeze kwanza ili uwajue Watanzania.
Tukianza kufanya siasa hizi za kweli. Amini nakwambia wasaliti na mamluki tutawagundua mapema sana!Tatizo lipo kubwa na hasa tunapozungumzia mikakati, kuna watu wanawekwa tayari ili kutofanikisha haya mambo.
Mfano nani yupo tayari kumwambia bwana mkubwa anakosea kujifanya yupo juu ya katiba?
KUMBUKA: Kumpata kiongozi mzuri lazima aliye juu awe mfano kwa walio njiani kuchukua nafasi.
Umecomment hapa utafikiri wanasiasa wa CCM hawapo pale kwa ajili ya matumbo yao. Pumbavu. Hao Hadi wanaua watu na kubambikia kesi ili aendelee na matumbo yao.Mwanasiasa gani wa kweli na kila mmoja anampinga ccm ili apate yeye nafasi ya kula!
Umecomment hapa utafikiri wanasiasa wa CCM hawapo pale kwa ajili ya matumbo yao. Pumbavu. Hao Hadi wanaua watu na kubambikia kesi ili aendelee na matumbo yao.
Kwenu kuna mtu yeyote aliyeuwawa!Umecomment hapa utafikiri wanasiasa wa CCM hawapo pale kwa ajili ya matumbo yao. Pumbavu. Hao Hadi wanaua watu na kubambikia kesi ili aendelee na matumbo yao.
Ndio yupoKwenu kuna mtu yeyote aliyeuwawa!
Ndio yupo
Kivipi?Nafsi inakusuta kwa uwongo!
Hahahhaha.... Umejua hujui sasa ee?
Vipi mkuu kwanza icc inaendeleaje?