Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 Dec 10, 2021 #81 SIASA IKO DUNIANI KOTE, NA DUNIA YOTE INA WAFUASI WA SIASA AINA YENU. TODAYS said: Bahati mbaya ikiwa asubuhi kila mtu ana msimamo, mchana wanapungua na ikifika jioni wengi unagundua maamuzi yao yalikuwa siyo yenye faida na kumsaidia mwananchi bali kila mtu anaangalia familia yake itaishije. [emoji117] HAKUNA SIASA HAPA AFRIKA. Click to expand...
SIASA IKO DUNIANI KOTE, NA DUNIA YOTE INA WAFUASI WA SIASA AINA YENU. TODAYS said: Bahati mbaya ikiwa asubuhi kila mtu ana msimamo, mchana wanapungua na ikifika jioni wengi unagundua maamuzi yao yalikuwa siyo yenye faida na kumsaidia mwananchi bali kila mtu anaangalia familia yake itaishije. [emoji117] HAKUNA SIASA HAPA AFRIKA. Click to expand...
TODAYS JF-Expert Member Joined Apr 30, 2014 Posts 14,747 Reaction score 24,250 Dec 11, 2021 #82 Yoda said: SIASA IKO DUNIANI KOTE, NA DUNIA YOTE INA WAFUASI WA SIASA AINA YENU. Click to expand... Siasa unayoifikilia wewe siyo hii ninayoweza kuiandika hapa. Afrika kuna ubinafsi siyo siasa, hiki unachokiona nje ya ulingo siyo kile kinachohakisi uhalisia wa siasa tunayoweza kuijadili.
Yoda said: SIASA IKO DUNIANI KOTE, NA DUNIA YOTE INA WAFUASI WA SIASA AINA YENU. Click to expand... Siasa unayoifikilia wewe siyo hii ninayoweza kuiandika hapa. Afrika kuna ubinafsi siyo siasa, hiki unachokiona nje ya ulingo siyo kile kinachohakisi uhalisia wa siasa tunayoweza kuijadili.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Dec 11, 2021 #83 Hakika umenena vyema...