Ushauri wangu kwa Wema Sepetu

Ushauri wangu kwa Wema Sepetu

Huu ni ushauri wa kindezi, we unafikiri watu wote wanaamini kwenda kuhiji Mecca kama wewe?
 
nisamehe Mimi!

Ila washeshimiwa bungeni wa naendelea
pita kimya kimya; msemo wao hainaga makombo
Ninaposema kiwanda namaanisha uzalishaji bado unaendelea
Sasa hivi tunaelekea kwenye uchumi wa kati
Tz ya viwonder hii
Shemu usharudisha bodaboda ya watu?
Jamaa anayajenga na Mshana junior
Anataka awabadilishe vikojoleo cha kwako kihamie kwa dada na cha dada kije kwako shauri yako.
 
Ninaposema kiwanda namaanisha uzalishaji bado unaendelea
Sasa hivi tunaelekea kwenye uchumi wa kati
Tz ya viwonder hii
Shemu usharudisha bodaboda ya watu?
Jamaa anayajenga na Mshana junior
Anataka awabadilishe vikojoleo cha kwako kihamie kwa dada na cha dada kije kwako shauri yako.
Hahaha na speed ya uchumi
Ya Tanzania ya vi_ wonder umeongezeka kwa asilimia 7.8% haijawahi tokea toka tupate Uhuru.


hahah Mimi ni mjukuu na ni uzao wa mzee msisi handeni; kwaiyo kuwa na amani kabisa.
 
Labda baada ya kuonja ladha ya jela ataelewa.
 
Wema Mungu amekujalia sura ya kuvutia, wazazi waliokupatia mahitaji yako muhimu mpaka umefika hapo na pia umejaliwa Nyota ya kupendwa. Yachukulie haya kukujenga wewe.

Hapa duniani hakuna asiyefanya makosa, wengine tunalipia makosa yetu kwa gharama kubwa sana, cha muhimu ni kuakisi maisha yako na kuona ulikosea wapi.

Kuna watoto wasio na wazazi au walezi, Wema unaweza kulipa fadhila kwa Mungu kwa kukujalia wewe wazazi, unatafuta nyumba na kukusanya watoto ukawapa malezi mema, kuwapa matibabu na elimu. Hapa duniani utakumbukwa na ahera (kama ipo) utakuwa umejiwekea thawabu kubwa sana.

Wema umejaliwa nyota ya kupendwa. Miss Tanzania 2006 ni mtu ambae hachagui watu wa kujichanya nao. Mtoto wa balozi ungeweza kuwa na marafiki wa matawi tu, lakini Wema wewe ni wa kipekee, huchagui watu kwa hali zao. Wema ukifanya Fund Rising Dinner kwa kukusanya hela za kulelea watoto wa mitaani muitikio wake utakuwa mkubwa sana.

Wema wewe ni mtoto wa Kiislam, ni muda wa kumrudia Mungu, vaa kistara, haya mambo ya kuonyesha tatoo waachie wadogo zako. Tutafurahi tukisikia Wema amekwenda Mecca kuhiji na sasa amekuwa mtu wa swala tano.
Mtoto wa kiislamu kiss my black assssss
 
Hahaha na speed ya uchumi
Ya Tanzania ya vi_ wonder umeongezeka kwa asilimia 7.8% haijawahi tokea toka tupate Uhuru.


hahah Mimi ni mjukuu na ni uzao wa mzee msisi handeni; kwaiyo kuwa na amani kabisa.
Hapo kwa mzee msisi vipi mkuu?? Tusijetukanana humu siku moja kumbe ndio wale wale
 
Wema sepetu mwili wake ni wa kishua lakini ki-roho anatokea magomeni mapipa...
Hata akisema achange leo aanze kuvaa madela tu kesho atapiga selfie anashikwa paja na jamaa..

Yule ni kunguru huwezi kumfuga... kama ameshindwa kuona mfano wa jokate , jack mengi ,faraja wa kota n.k ni kazi bure tu

mapipa umempandisha hadhi sana, kimatendo kama mtu wa tandale
1138960
 
Hapana. Chance ya Wema kuingia kwenye mfumo ilikuwa automatic provided Baba yake alikuwa kwenye mfumo.

Hilo la kampeni siyo issue sana kwa sababu, sometimes kuteuliwa inategemea na mtu alivyo kitabia.

Mfano, Jokate hakuwa na scandal kama Wema.

Wema ni mtoto wa balozi ila yupo as if kalelewa uswazi Midizini.

Hata watoto wa Nyerere the same apply here.

Wema kajitenga na mfumo wa msimamo wa familia, na sababu kubwa ninadhani ni malezi kwamba wazazi haswa baba alikaa mbali na Wema na kumwacha hewani sana.

Mtoto katumia uzuri kujiharibu.

Nina mashaka kama Wema aliwahi kuchapwa.

Mtoto asiyechapwa siyo mtoto maana akikua anakuwa mzigo.
Akikua atachapwa Na Mikuyenge na Ikishamuingia Sawa Sawa Hatosikia la Mtu.. Atakua wa Kupigwa Miti mpaka imee.
 
Back
Top Bottom