Ushauri wangu kwa Wema Sepetu

Ushauri wangu kwa Wema Sepetu

Na ile kuongea kama mtoto inafanya watu wasimchukulie serious
Utoto mpk anezeeka yule yaani sasa hv ashafulia anapitwa na watoto wadogo mnooo!!

Ila yule wamemroga wenziwe yule maana mtu gani hana maendeleo hata moja!kaah
 
Swala tano kwa Wema? labda unaongelea 6 kwa 6 mara tano kwa siku...dawa ya huyu ni kumtoa kwanza lile pepo alilozaliwa nalo hapo mtakuwa mmemsaidia vizuri tu.
Tatizo anahisi akirudi kwa Mungu atakua amefeli kimaisha kumbe wala ndo anaweza kupanda Mara 100 sema tu halijui hilo
 
Wema wewe ni mtoto wa Kiislam, ni muda wa kumrudia Mungu, vaa kistara, haya mambo ya kuonyesha tatoo waachie wadogo zako. Tutafurahi tukisikia Wema amekwenda Mecca kuhiji na sasa amekuwa mtu wa swala tano.
Wema ni fungu la kukosa
Kuna tatizo kwenye makuzi,na mama amechangia sana
 
Back
Top Bottom