Swala tano kwa Wema? labda unaongelea 6 kwa 6 mara tano kwa siku...dawa ya huyu ni kumtoa kwanza lile pepo alilozaliwa nalo hapo mtakuwa mmemsaidia vizuri tu.
Wema wewe ni mtoto wa Kiislam, ni muda wa kumrudia Mungu, vaa kistara, haya mambo ya kuonyesha tatoo waachie wadogo zako. Tutafurahi tukisikia Wema amekwenda Mecca kuhiji na sasa amekuwa mtu wa swala tano.