Ushauri wangu kwa Wizara ya Afya: Ni muhimu kuja na sera ya mafunzo mahususi kwa viongozi wa vituo vya huduma

Ushauri wangu kwa Wizara ya Afya: Ni muhimu kuja na sera ya mafunzo mahususi kwa viongozi wa vituo vya huduma

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Sina uhakika kama kuna chuo kinachotoa mafunzo mahususi ya uingozi wa sekta ya afya kwa madaktari/wauguzi wanaosimamia vituo vya kutolea huduma.

Tunashuhudia kila uchao wafawidhi wa vituo wakishitumiwa kushindwa kusimamia ingawa sijawahi kusikia kama kuna mfumo maalumu wa kuwaandaa wafawidhi hawa katika kusimamia vituo vya huduma za afya.

Tukiendelea kuwasimamisha kila janga linapotokea sidhani kama tutafika.

Ufumbuzi muhimu ni kuandaa sera ya mafunzo ya wafawidhi wa vituo hivi na kuwafuatilia.
 
Back
Top Bottom