Wasukuma wanasema "Kwigwa kwa mbulu, mpaka mininga mguto=Kenge hasikii, mpaka damu zimtoke masikioni" Waswahili wanasema "Asiyefunza na mamaye, hufunza na ulimwengu" Sasa hivi magamba ndo wanamfunza siasa za maji taka zilivyo! Kwa vile magamba rushwa ni sehemu ya maisha yao, wako tayari waji-expose ili wamuaibishe mmoja anaye pinga rushwa!Huyoy hashauriki ana msimamo mkali
Mkuu wangu binafsi yangu sidhani kabisa kwamba Zitto anasukumwa na tamaa ya Pesa - Hapana.. sio kweli kwa sababu namjua Zitto japo sii kwa saana hivyo. Sii mla rushwa tena nadhani anapiga vita rushwa kuliko watu wengi sana hata ndani ya chama chake mwenyewe hupenda kuhoji matumizi ya chama..Ni mtu safi sana inabidi uwe naye karibu ndio utamjua..
Tatizo la Zitto ni imani yake kwa kuelewa kwamba nchi yetu tajiri sana na hakuna sababu ya watu wake kuwa maskini na kwa ambiton yake anafikiri yeye ataweza kufanya mabadiliko. Lakini njia za mageuzi hayo ndizo zinazo mponza kwa kujishirikisha na sera za CCM iwe ktk makaa ya mawe Mchuchuma, bomba la gas, kesi ya Mhando na Maswi na uwekezaji mwingine nchini. Hii sio kazi yake kama Mpinzani, kazi yake ni kuonyesha sera mbovu zinatumika na ndio maana matumizi mabaya yanafanyika. tatizo lolote ktk uwekezaji wa Tanesco au wizara angeliwakilisha kama hoja ya chama chake au upinzani..
Kila napomsoma Zitto huwa kama vile Chadema ndio ipo madarakani, yaani yeye husisitiza hili ama lile litawezekana kufanyika under his watch..Litafanikiwa vipo kwa kutumia sera za CCM. Na ndio maana mimi husema Zitto sio mwanasiasa bali mtekelezaji mzuri na kazi hiyo ataiweza tu kuifanya kama Chadema wataingia madarakani maana sera zake zinaendana na makusudio yake. Nimesema sana kuhusu UONGOZI, kiongozi bora mwanasiasa lazima awe spiritual, awe innovator ktk what he preach, na sii Pedegee, a good Managing Director au CEO ktk muundo wa Utekelezaji wa sera mbovu iwe economic development, ajira ama client retention.
- Ni hayo tu...
Mkuu wangu binafsi yangu sidhani kabisa kwamba Zitto anasukumwa na tamaa ya Pesa - Hapana.. sio kweli kwa sababu namjua Zitto japo sii kwa saana hivyo. Sii mla rushwa tena nadhani anapiga vita rushwa kuliko watu wengi sana hata ndani ya chama chake mwenyewe hupenda kuhoji matumizi ya chama..Ni mtu safi sana inabidi uwe naye karibu ndio utamjua..
Tatizo la Zitto ni imani yake kwa kuelewa kwamba nchi yetu tajiri sana na hakuna sababu ya watu wake kuwa maskini na kwa ambiton yake anafikiri yeye ataweza kufanya mabadiliko. Lakini njia za mageuzi hayo ndizo zinazo mponza kwa kujishirikisha na sera za CCM iwe ktk makaa ya mawe Mchuchuma, bomba la gas, kesi ya Mhando na Maswi na uwekezaji mwingine nchini. Hii sio kazi yake kama Mpinzani, kazi yake ni kuonyesha sera mbovu zinatumika na ndio maana matumizi mabaya yanafanyika. tatizo lolote ktk uwekezaji wa Tanesco au wizara angeliwakilisha kama hoja ya chama chake au upinzani..
Kila napomsoma Zitto huwa kama vile Chadema ndio ipo madarakani, yaani yeye husisitiza hili ama lile litawezekana kufanyika under his watch..Litafanikiwa vipo kwa kutumia sera za CCM. Na ndio maana mimi husema Zitto sio mwanasiasa bali mtekelezaji mzuri na kazi hiyo ataiweza tu kuifanya kama Chadema wataingia madarakani maana sera zake zinaendana na makusudio yake. Nimesema sana kuhusu UONGOZI, kiongozi bora mwanasiasa lazima awe spiritual, awe innovator ktk what he preach, na sii Pedegee, a good Managing Director au CEO ktk muundo wa Utekelezaji wa sera mbovu iwe economic development, ajira ama client retention.
- Ni hayo tu...
Dah umesahau mdahalo ulivyokuwa ukimwaga majibu millioni kwa swali dogo tu?.. Ni rahisi sana kumshauri mtu kwa jambo dogo lakini linatakiwa kumwonyesha wapi alipokosea..Ushauri mdogo waraka wa kuusoma mpaka tunasinzia, jee, ungekuwa ushauri mkubwa ingekuwaje?
Zitto hasemwi ovyo ovyo isipokuwa wanajua Zitto ndiye kiungo kikubwa cha pande mbili za mtazamo kitikadi ndani ya Chadema. Navyoamini mimi, ktk swala la Uchaguzi mkuu na utawala -chama cha CCM huchukulia hili kama wako vitani na ndio maana wanasema - Ushindi wa Uchaguzi mkuu utapatikana kwa njia yoyote ile..Na siku zote CCM hutafuta sehemu inayoweza kukiyumbisha chama mbadala cha Upinzani kwa kutafuta their weakest point of entry..Hivyo wakaona mahala ambapo wanaweza penyeza ngome ya Chadema ni Zitto. Ndio maana Zitto alipewa wenyekiti wa kamati ya JK kuhusu madini wakati uleee, Mnyika akaja juu sana kupinga uteuzi ule kinyume cha matakwa ya chama, lakini kwa furaha kubwa Zitto akaingia mzima mzima. Toka pale CCM wakamkamata na kuhakikisha anaambukizwa gonjwa la upinzani wowote ndani ya Chadema dhidi yake ni kwa sababu yeye Muislaam..Mkandara Heshima mbele
Mimi nikiwa muumini mzuri wa mageuzi na niliyekubaliana na Zito katika harakati zake siwezi tetea kuhusu uhusika wa mtu yeyote yule kwenye tuhuma za Rushwa. Wote waliopata tuhumiwa watu wao waliwatetewa kwa nguvu zao zote. Hii ilileta madhara pale ilipothibitishwa vinginevyo.
Ninaweza nikawa siamini kweli Zito kala rushwa, ila kinachonipa tabu kwanini atajwe, ahisiwe kwanini hata mtu afikiri anaweza kula Rushwa, nilivyomwamini Zito pamoja kwamba kunamambo mengi huwa hatukubaliani naye sijawahi kufikiri anaweza kula Rushwa wala kutoa. Ila kwa sababu rushwa ni matokeo ya madaraka, tamaa, na uchu wa utajiri lolote linawezekana.
Kazi ya chadema ni kuweka wazi kuwa Rushwa haikubaliki ndani ya chama kipimo kile kile tunachokitumia kwa watawala na viongozi wa serikali ndicho kitumike kwa watuhumiwa wa CDM kama wapo. Huanza na tetesi, shutuma then udhibitisho.
Rushwa imeharibu wengi sana Nyerere alimwamini sana Mkapa hata akaitwa Mr Clean leo unaweza kutumia hilo jina. Kinachoniudhi sana ni kubadilika kwa viongozi wetu kitabia na utendaji.
Kamba hizo.kuna program moja niliangalia inaitwa "you are what you eat".... I guess it sums up Zitto conundrum
He has tried too hard to be a philosophical spinner, strong believer of his own pathways and incognito indeed when it comes to his ideology... and everything rounds up on him... unfortunately
Kamba hizo.
Dah umesahau mdahalo ulivyokuwa ukimwaga majibu millioni kwa swali dogo tu?.. Ni rahisi sana kumshauri mtu kwa jambo dogo lakini linatakiwa kumwonyesha wapi alipokosea..
Ili kurally behind CHADEMA liwe jambo la maana kwa Zitto kwanza inabidi vikao vya CHADEMA viendeshwe kidemokrasia na sio kiubabe ubabe wa mwenyekiti na wazee wa chama.
Chama ambacho katiba yake inasema kila mwanachama ana haki ya kugombea uongozi lakini ikifika wakati wa uchaguzi wagombea wengine wanaambiwa wasigombee kwa sababu "they are from nowhere" ukikiendekeza utaishia kuwa tambaa la deki.
Zitto hasemwi ovyo ovyo isipokuwa wanajua Zitto ndiye kiungo kikubwa cha pande mbili za mtazamo kitikadi ndani ya Chadema. Toka pale CCM wakamkamata na kuhakikisha anaambukizwa gonjwa la upinzani wowote ndani ya Chadema dhidi yake ni kwa sababu yeye Muislaam..
I know all these things toka vijiwe vya mujini, tena walimpa Zitto hadi mafaili ya kina Mbowe na viongozi wengine waliopokea rushwa ama kuwa upande wa kina RA na EL kumpitisha JK uchaguzi wa 2005. Vitu vingine vilitungwa kuhakikisha Zitto anaweka mashaka ktk dhamira ya viongozi wake. Na wala sii kosa lake tu, uongozi wa Chadema pia kwa kuelewa hivyo walianza kumtenga, kutomwamini maana mtu yeyote anayefanya kazi na serikali wakati hakuna makubaliano ya Bipartisan ina maana yuko upande wa pili..
Sijui kama unakumbuka Senator Joe Lieberman wa Marekani, huyu alikuwa Presidential material alipokuwa Democratic lakini kutokana na msimamo wake wa ndumila kuwili, alianza kutengwa akajikuta pekee na kila siku hakosekani CCN kwa kashfa na misimamo yake, mwisho ilifikia kuhama chama na leo hii kabakia senator tu ambaye hana mbele wala nyuma..Hivi ndivyo siasa inavyoweza kukujenga ama kukubomoa.
Let's say kwa hali ambayo haikutegemewa Dr.Slaa hatagombea Urais - Je, tuna chaguo gani jingine -Ni Tundu Lissu? Mbowe? Mnyika? au Prof. Safari?....Na kwa nini jina la Zitto lisiwepo?
Zitto anapakazwa sana kwa malengo na hasa wabunge ambao wanapokea posho ilihali Zitto ndiye sababu ya kukatwa ongezeko..Zitto na Makamba wana maadui wengi tu muhimu ni wao kufahamu makosa yao kama vijana mnaowategemea kesho.
[/QUOTE]Si unajua utani wa Simba na Yanga? ni lazima kurudisha majibu wasojua ndio hushikana mashati.Mjomba, hutaniwi?
Mkwawa hata Nyerere hakuaminika alipoingia CCM na hata mjia alizotumia. Canada kuna mtu anaitwa Harper ambaye ni Prime Minister leo naye hakuaminika..walichokifanya hawa wote ni kuonyesha spritual power zao juu ya kile wanachopigania wakati wote hadi kupata imani za watu.Mkubwa Mkandara
Kwangu mimi sifa kubwa ya kiongozi ni uwezo wake wa kuelewa mambo mitego na kutumia akili kwa kila anachoona, ambiwa, sikia na nukishwa. Kama unayosema ni kweli basi Zito hafai kuwa kiongozi hivi ataweza fitina za nchi tajiri duniani??? Ni nani asiyejua hakuna mtawala anayetaka kuona anatolewa madarakani. Zito kukubali teuzi za JK ni tamaa tu ya madaraka. Huwezi kaa meza moja na adui ukafikiri utatoka salama. Kimsingi tukubaliane Zito ni daraja kubwa la kubomoa CDM akitumiwa na CCM. Kitu pekee CDM watapona ni kuachana naye kama Shibuda. Wakiendelea kumlea kwa sababu zozote zile maneno ya Wasira yatatimie na dalili ndizo hizi. CDM haina tatizo la mgombea wa Uraisi wako wengi sana wenye uwezo kwani Obama alitokea wapi, Uraisi ni team sio mtu mmoja akiingia Zito amnaye anaamini anakili zote kuliko mtu yeyote nchi itasimama hakuna Raisi anaweza kufanya kazi bila ushauri, busara na hekima. Raisi anayeamini ni super man hayupo duniani Zito atakuwa wa kwanza.
Mkwawa hata Nyerere hakuaminika alipoingia CCM na hata mjia alizotumia. Canada kuna mtu anaitwa Harper ambaye ni Prime Minister leo naye hakuaminika..walichokifanya hawa wote ni kuonyesha spritual power zao juu ya kile wanachopigania wakati wote hadi kupata imani za watu.
Sii rahisi kabia kupata bahati kama ya Dr.Slaa na sii watu wote wanakubalika kirahisi hivyo..Labda nikukumbushe tu ya kwamba AbdulWahid Sykea alikubalika muda wote na Nyerere alionekana kibaraka wa wazungu na pengine hakuwa mkweli lakini viongozi ndani ya chama TANU na hasa AbdulWahid na Mwapachu waliweka imani zao kwa Nyerere na wakaunda maadui sana tu.. Mwisho wa yote Nyerere akkiwa na na umri mdogo miaka 35 tu alichukua uenyekiti na baadaye kuwa rais wetu wa kwanza..
Kwa hiyo, sisi wengine tusimhukumu kwa lolote zaidi ya kumpa upendo na kumuonyesha njia yetu sisi kuliko kufanya unafiki wa kumchukia na kumrushia madongo wakatin hajui sababu. Kama viongozi wa chama wana imani naye na wanaheshimu mchango wake he can be who he wonna be..
La muhimu tumetoa donge letu.. I wish I had a chance to sit down with him before all this na siwezi kuumia rohoni wakati najua kabisa Zitto is clean isipokuwa bado hajakomaa kisiasa na anajiamini sana kupita kiasi badala ya yeye kuaminiwa kupita kiasi..