Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani alisema kuliko wajumbe wengine waguswe,ni bora ajiuzulu,kwa maana hiyo,amejitolea kafara,hilo linaweza kuharibu matokeo ya uchunguzi endapo wajumbe hao watapata bangusilo.Zitto anaendelea kuni-dissapoint! Bodi imemsimamisha MD kupisha uchunguzi. Uchunguzi haujanza kamati ya Bunge inataka kuingilia kati - kwa maslahi ya nani? Aliyesimamisha au aliyesimamishwa? Acha usanii dogo! Mkandara uko sahihi, huyu akitaka kusurvive kwenye siasa afuate ushauri wako.
Kingine, eti anakuja na hadithi za 'ikithibitika najiuzulu uenyekiti'. Sikiziliza, huwa wanakaa pembeni kupisha uchunguzi, ndio political maturity hiyo. Huo ujinga kwamba kuna watu wanavizia huo uenyekiti ni kiini macho tu, tunakumbuka wewe, Mrema na Cheyo mlivyochaguliwa kuongoza hizo kamati na hakuna lolote lililobadilika. Kwa hali ya Bunge letu haiwezekani kwa mpinzani wa kweli kuchaguliwa kuongoza kamati hizo, zitaongozwa na vibaraka tu.
Mambo yote hyanayohusiana na Zitto yametengenezwa na CCM ili wanaCHadema mzidi kukosa matumaini naye na kwa kufanya hivyo mtagawanyika. Zitto ana watu wanaomwamini sana na ambao wanajua fika kwamba ndani ya Chadema kuna mtandao vile vile..
.
Mkandara asante sana.
All the well wishers knows that Zitto is a prodigal son. Now what he need most is not to trade fire with fire. He simply need to pause and consider his ways.
Mh. Zitto. ambitions are all too natural traits for us all, none here is telling you anything to the contra. Neither do Mkandara or me or anyone really intends herein to lecture you brother.
What some of us perceives (may be wrongly) is when you foster your ambitions as the political absolutes. When you define things in a ruthless contrast to what CHADEMA manifests. Those two things really put you in direct jeopardy position.
It's obviously a sorry state to be in, so the quick it ends the better.
Mkuu unazungumza kwa sababu UNAJUA siasa au unasema tu kwa sababu unafikiria ndivyo ilivyo?.M
Mkandara,
Upinzani wa kupinga kila kitu umepitwa na wakati.
Halafu kazi ya kamati sio kukosoa sera za Chama. Hii kamati ya POAC wanachofanya wao ni kama Auditing zaidi kuingia deep na kuainisha makosa ya kiutendaji na kushauri sasa unaposema afanye kazi za POAC kama mwanasiasa wa upinzani hapo sikubaliani na wewe labda useme wapinzani wakatae kabisa hata kuingia kwenye hizo kamati.
Kipindi cha Impeachment ya rais Clinton kule marekani walijitokeza hata wabunge wa Republicans wakaokoa jahazi wakati ilikuwa ni fursa nzuri ya kumtoa Clinton wao wachukue nchi. Siasa haziendi hivyo mazee.
Daaa hii imetulia but atakuwa amejifunza kitu pia hata katika ili sakata.
Sasa hapa ndipo mnapokosea nanyi.. Chama ni team players hakuna cha Zitto na matatizo yake. Anapoumizwa Zitto ni lazima myasikie machungu yake hata kama yeye ndio njia ya mkato..Difference kati ya good leader na great leader: A good leader anajua 'madhaifu yake, lakini a greater leadera anajua namna ya kukabiliana na madhaifu yake.
Matatizo ya Zitto hayatoki nje ya Zitto. CCM au watu wengine wowote wamegundua udhaifu wake uko wapi na wakautumia, lakini yeye ndiye aliruhusu hayo yatokee maana kwa bahati mbaya alikuwa amekazana kuangalia kwingine badala ya kujiangalia mwenyewe. Na kama kuna kitu cha kurekebisha basi Zitto anatakiwa akubali, ndani ya nafsi yake madhaifu yake kama binadamu, na mojawapo ni kutotumia nguvu kubwa kupanda ngazi ya Maslow na kwa haraka. It will be very sad kuona Zitto anazidiwa ujanja wa siasa za kizamani toka CCM.
[h=6]The only person who cannot learn anything is the one who already is convinced that he knows everything. [/h]Too much of Zitto of late.
But anyway, can someone present this quote to him in person before tonight's dinner?