Optimist_Tz
JF-Expert Member
- Jan 11, 2024
- 1,543
- 1,860
Dunia itawafundisha.
Ushauri mzuri sana sema ndio hivyo lakuvunda huwa halina ubani.
Ushauri mzuri sana sema ndio hivyo lakuvunda huwa halina ubani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
leo ukweli unamiminwa kama njugu dah!Hakuna faida ya kubadilisha wanaume kama nguo maana kumbuka kadri miaka inavyozidi kwenda thamani yako inapungua huku thamani ya mwanaume ikiongezeka. Ndio maana utaona mzee wa miaka 60 akioa binti wa miaka 25 huku bibi wa miaka 60 akipata ndoa ni muujiza mkubwa.
Unapowadanganya wanaume, usifikirie kuwa hawatagundua wakati fulani. Mwanaume akikushika unacheat, jua tu mahusiano yenu hayatakuwa kama mwanzo maana wanaume hawachukulii cheating kirahisi. Tafuta mwanaume unayempenda na utulie kabla ya kupoteza maisha yako mwanadada. Kubadilisha Wanaume kama nguo hhakuna tuzo ila kuna majuto zaidi kadri muda unavyozidi kwenda😎
Imeisha hiyo 👊Ah wee mie sio kijana usione napiga tabtalila hapa jf kuhusu kibamia ukadhani mie kijana. Mwenzio nina mke na watoto +mil 234 benki.
Hii umeongea ukweli kabisaNa walivyo washirikina na wachawi sasa na hata bado haviwasidii , wanafaidikika kwa muda mfupi tu kisha wanapigika.
Wasambazie huu Ushauri nasaha popote walipo Mkuuleo ukweli unamiminwa kama njugu dah!
mwenye maskio na askie.
ukishupaza shingo usimlaumu Mungu kwa ukaidi wako.
utaburuzwa na kuchakazwa na kuchakazwa na kila mwanaume hadi ujichukie mwenyewe 🐒
hii umeenda wajemeni 🐒Wasambazie huu Ushauri nasaha popote walipo Mkuu
Ebo! Kumbe wanaturoga hawa warembo eeh...ndio maana hela zinatoka tuuYaani siku hizo Umalaya na kudanga wanaona kama ni fasheni Sijui ?! 🤔🤔
Sababu ya tamaa na maisha ya kujilinganisha na wengine.
Na walivyo washirikina na wachawi sasa na hata bado haviwasidii , wanafaidikika kwa muda mfupi tu kisha wanapigika.
Saiv wamenizoesha kuwa oaks futa🤣🤣🤣Mwenyewe niliambiwa condom siyo nzuri tumia mafuta
Na kuna wengine watakuja kufuga majini tu......huwezi kuishi kwa kuuza uchi daily, lazima utachoka tu, yaani kila kukicha we kazi yako kutafuta kick ili upate mwanamme wa kukuweka mjini, si ujinga huu? Utapigika, wanaume wanakuangalia tu na kukushusha thamani, mwisho wa siku unakuja kuolewa na msukuma au Muha dizaini ya Mwijaku au Baba Levo.Uko sahihi.....akina Uwoya sasa hivi eti wanafungua makanisa😅😅
Kuburudisha nafsi au kuangamiza nafsi?Watu wanagegeda kuburudisha nafsi zao.
🤣🤣🤣🤣 Hapo sasa mambo ya imaniKuburudisha nafsi au kuangamiza nafsi?