sitaki hela
Member
- Oct 10, 2022
- 93
- 117
Niende Moja Kwa Moja kwenye hoja yangu,mm nimeona katazo la kamishina wa elimu na waziri WA elimu kuhusu watoto kutosoma kipindi Cha likizo lakin mm ningetoa ushauri wangu kuwa serikali ingelitafakar hili jambo Kwa kinasana Kwan mtoto kukaa mwez mzima bila kuwa na Kaz za kufanya za shule ni tatizo Kwan watoto katika unifunzaji Kuna wale ambao ni slw learner wanaitaji nguvu za ziada katika kuwa saidia na sio kukaa nyumbani TU. Nina amino hata nyie viongozi kipindi chenu kipindi Cha likizo hamkukaa nyumbani na kama mngekaa bc Leo hii msingefika hapo.bado hapo mtegemee matokeo mazur Kwa watoto?mfano Kuna kidato Cha nne,Darasa la 7 na Darasa la nne wote wanajiandaa na mitihan ya Taifa Sasa kukaa nyumbani mwez mzima nadhani c sawa,watoto bado wanatafuta maisha Yao kupumzika ni mafanikio wapo watu walio fanikiwa lakin hawpumziki sembuse hawa ambao bado?mfano watoto matokeo ya kufungia mtoto WA shule ya msingi shule x kapata hisabt o4,kingereza 00.kiswahil 22, sayansi 00,MJ/Mii 16.sasa mtoto kama huyo bado umwambie afunge mm naona utakuwa humtendei haki,vilvile watoto wengi kipindi hiki Cha likizo bila kuwa bze tuta rajie mambo ambayo huwenda sio mazur mfano mimba Kwa watoto WA kike,Saba muda mwingi wanatumia kuzurura kuliko kusoma,waheshimiwa hili jambo mlifikirie na militafakari upya Kwan tunajua mania njema lakin kizazi siku hiz kimebadilika. Naomba kuwasilisha